BVM na yatima lakini jina halionekani HESLB!

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
Wanajf nina ndugu yangu amechaguliwa Sua. BVM,Ni yatima hana wazazi wote.
Cha kushangaza tumeangalia jina lake kwa waliopata mkopo hayumo.
Sasa jaman naombeni ushauri tufanyeje ili naye aweze kupata mkopo. maana asipopata mkopo ndo chuo bac tena!
 
samahi..Mkuu jina lilikuwemo kwa yale majina ya 1st round application..embu fafanua mkuu
 
Div 3,ni ngumu jamani kupata mkopo
daaaa inauma sana mpe moyo huyu best!mbona m nina 3 ya 16 arts lakin nimelamba parefu tu ila vyet vya vfo vya wazaz muhmu kama vp apande Heslb watamsaidia yatima wanapewa kipaumbele m nimelamba parefu had kuwazd wenye divsn 1&2 nimepata 3.9m.yatima akienda tu watamsikiliza inabid akafunguke kuwa yy n yatima daaaaa inauma sanaaa
 
kwa BVM alistahili kupata mkopo 100% hata kama si yatima kwani hiyo kozi ilikua haitumii utaratibu wa 'means testing' na kila aliyechaguliwa hapo anapewa asilimia mia,ajaribu kufuatilia heslb aone!
 
Huyo atakuwa katika ile list ya waliokosea kujaza hizo form za mkopo kipindi kile ...bvm hauwezi kukosa mkopo atakama ulisoma wapi
 
Kama vipi mu-appeal HELSB,maana wanautaratibu huo kwa wale ambao hawajaridhika na matokeo.
 
Huyu yupo list ya reserve lonee kwa uchunguz niliofanya kwa haraka haraka hyo list hitakua na ophanz pekee au wa2 wenye special case ka hyo, never kukosa stil ophan & bvm@sua
 
Nacho weza kuwashauri fikeni ofisi z HESLB muweze jua ni sababu gani amekosa mkopo maaba BVM wote wamepata 100%, inawezekana alikosea kujaza form. nawashauri angalieni kwenye wale walio kosea, kama na huko hayupo basi fikeni ofisi za Bodi kwa maelezo kabla muda hauja kwenda sana
 
Aisee pole sana ila inawezekana amechaguliwa chuo kingine na facult kubadilishiwa maana hata mimi nilichaguliwa kcmc lakini nikakuta wamenipelekat udom na loan hukohuko ningeangalia kcmc ningeishia kuangua kilio. Jaribu kuangalia kwenye options zote 8 alizoomba.
 
Tumeangalia kwenye list ya waliochaguliwa SUA(kwenye web ya chuo),BVM yumo!
 
aise kama mmechek kote haja onekana angalieni tena kwenye list ya waliokosea kujaza kama hayupo...nenden loan board ofisini kwao...BVM ni 5yrs afu bila loan unadhani itakuaje!!!!
 
uhakika huu hapa,unatakiwa uandae copy za vifo vya wazaz wake,cheti cha form four na form six,copy ya kitambulisho cha kura cha mdhamin aliyekudhamin mwanzo,vilivyothibitishwa na wakili au hakimu,nenda navyo HESLB,waelezee matatizo kuhusu kukosa mkopo,baada ya hapo waonyeshe kopi zote ulizoenda nazo,HAPO HAKUNA LA ZIADA......
 
siku hizi watu wengi wanafoji vyeti vya vifo na inauma sana pale wafiwa halali kukosa na wanaofoji kupata.. yani kwa hii nchi kama huna pesa basi maisha yako yatakua ni ndoto tu..ila asikate tamaa kama mnaweza kumwezesha aende chuo alafu kipindi cha appeal kikifika muende hadi bodi na viambatanisho vyote
 
Back
Top Bottom