Habari zenu wana jf,
Samahani naombeni ushauri kwa mwenye kufahamu.
Nina rafiki yangu alirudia darasa la sita miaka ya 80+ sasa akaendelea na sekondari na chuo na akaenda kupata degree yake Malaysia sasa amerudi nchini akaajiriwa sector binafsi na sasa ameacha anafanya mambo yake binafsi,
Changamoto aliyonayo ni kwamba aliporudia alibadilisha majina mawili yaani alitumia jina la kwanza lingine, la pili akaweka la baba yake ambalo anatumia kwa cheti cha kuzaliwa na la mwisho akatumia la babu yake, ambalo baadaye akaenda kuforge cheti chakuzaliwa kwa jina hilo jipya na kupatia passport mbaya zaidi alipunguza hadi umri wake
Kwa sasa ameenda kulikana jina jipya alilosomea na anataka kutumia cheti chake cha kuzaliwa cha zamani chenye majina ya baba yake mzazi na lake la utotoni, issue ipo NIDA je watakubali kumbadilishia namba maana kadi ya NIDA inaanza na mwaka wako wa kuzaliwa.
Asanteni na poleni kwa kuwachosha ila kama hujaelewa usisite kuniuliza
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app