...BUtocks shape up Machine...

...BUtocks shape up Machine...

kakamukubwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
203
Reaction score
27
Bei ni Mzuri...
Yana shepiwa vyovyo utakavyopenda...
kwa Promotion nawaalika wafuatao Madame B,Mrs ZUBEDAYO,CHARMIGLADY,cacico.,hawa wataleta majibu wenyewe hapa kijijini...
 
Bei ni Mzuri...
Yana shepiwa vyovyo utakavyopenda...
kwa Promotion nawaalika wafuatao Madame B,Mrs ZUBEDAYO,CHARMIGLADY,cacico.,hawa wataleta majibu wenyewe hapa kijijini...

Asante kwa mwaliko wako,japo yangu yameshashepiwa tangu nazaliwa.
Hvyo huduma hyo itanikosa.
Ila nitakuja kuwatazama Arabela, charminglady na cacico.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hujatuwekea mfano hai wa picha kuona hiyo mashine ilvyowafanyia kazi wengine,ili tuwe convinced.
 
Bei ni Mzuri...
Yana shepiwa vyovyo utakavyopenda...
kwa Promotion nawaalika wafuatao Madame B,Mrs ZUBEDAYO,CHARMIGLADY,cacico.,hawa wataleta majibu wenyewe hapa kijijini...

kakamukubwa me tayari mola kashanibariki ila usijali ntakuletea mteja aitwa Eversmilin gal
 
usitegemee kupata mteja hapa wa kukwambia mimi nataka hii huduma. hakuna atakaye kubali hapa ukitaka kushangaa jinsi wateja watakavyo miminika jaribu kuweka location ulipo na namba yako ya simu uone utakavyo wakimbia wateja.

mfanoBabu wa loliondo aliwambia wateja wa dawa ya VVU wapange mstari wao wapange mstari wao ili awapatie dawa lakini hakuna aliye jitokeza . Babu akasema ngoja hii dawa niimwage maana haina wateja weeeeeeeeeee usiniulize kilichotokea.

Mnyama nirahisi kum uelewa lakini si binadamu
 
Kama mashine inahitaji sample ya kudesa basi kuna Preta.. Cheki naye utapata the perfect perfection...
 
Back
Top Bottom