Sio lazima utamke hayo aliyotamka butiku ndio uonekane Mzalendo! Kila mtu ana namna yake ya kufikisha ujumbe pale anapoona inastahili! By the way! Hata Lowasa naye alisubiri awe mzee ndio akahamia chadema, tena baada ya kunyimwa fursa ya kugombea urais? So sio lazima kila kinachotamkwa kiwe kweli kwa aslimia zote! Mwenyewe pia kauli zako humu ni kama kinyonga! At least msimamo wangu haukuwahi kubadilika over the years huo ndio uanaume!
Kati ya kifo na ccm nitachagua kifo .[/QUOTE
Basi unauwezo mdogo sana wa kutumia akili yako!
Hakuna maswali ya kipuuzi, Bali kuna majibu ya kipuuzi kama ya kwako!
Kinyonga namba moja hapa JF ni wewe, rekodi zipo wazi! Hakuna mwingine unayemfahamu kuzungumzia uozo katika nchi hii zaidi ya hao uliowataja? He sio hao wapinzani wanaokataa jitihada za Rais kuisafisha nchi?? Sio hao?Sina ukinyonga kuhusu Lowassa, lowassa ni fisadi siku zote na hakuna popote pale nilipoandika tofauti. Mzalendo hawezi kuunyamazia upuuzi ndani ya Serikali hii ambao umezungumziwa na Mwinyi, Butiku na Warioba. Anayefumbia macho upuuzi unaoendelea ndani ya Serikali hii ya dikteta uchwara hastahili kuitwa mzalendo.
Tatizo lako husomi ukaelewa! Inawezekana lisiwe kosa lako Bali ikawa ni changamoto ya umri tu! Pole!Unauliza kitu ambacho kiko wazi kabisa kuhusu msimamo wangu kuhusu Nyerere na ule wa Tundu Lissu. Halafu huoni kama unauliza maswali ya kipuuzi!!!! una mtindio wa ubongo wewe si bure.
Kinyonga namba moja hapa JF ni wewe, rekodi zipo wazi! Hakuna mwingine unayemfahamu kuzungumzia uozo katika nchi hii zaidi ya hao uliowataja? He sio hao wapinzani wanaokataa jitihada za Rais kuisafisha nchi?? Sio hao?
Kwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?
Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.
Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujitetea! Nikivuta Uzi wako wa 2006, 7,8, 9, 10 kila mtu ataona namna unavyojiabisha hapa kwa kuruka sarakasi huku umevaa taulo! Mkuu unajichoresha sana!....Kwa mwenye akili fupi na za kushikiwa kama wewe. Unaposema kinyonga bila ya kuwa na uthibitisho hata chembe wa ukinyonga wangu unakuwa VUVUZELA tu unapiga kelele lakini huna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako. Huwa sikurupuki ninapoandika hapa.
Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi sana kujitetea! Nikivuta Uzi wako wa 2006, 7,8, 9, 10 kila mtu ataona namna unavyojiabisha hapa kwa kuruka sarakasi huku umevaa taulo! Mkuu unajichoresha sana!
Haha umepanic mkuu! Wewe utakua wale wazee walioshindwa maisha halafu wanalaumu kila MTU kutokana na uzembe wao!Vuta huo uzi uuweke hapa wa kuonyesha msimamo wangu wa 2007, 2008, 2009, 2010 na kasha uweke ushahidi wa kuonyesha msimamo wangu ulivyobadilika 2015 au 2016. Hakuna uzi kama huo na unaweza kukesha humu 24/365 ukashindwa kuthibitisha kauli yako. Wewe ni VUVUZELA tu unakurukuka na kuandika oumba ambazo hazina ukweli wowote na jinsi ulivyo VUVUZELA unaandika hata uongo eti mimi nina uzi humu wa 2006 wakati nilijiunga hapa 2007. Acha kukurupuka na kutumia nguvu kubwa kutaka kuthibitisha PUMBA zako wakati huna ushahidi. Nasubiri ulete uzi wangu wa miaka hiyo ya nyuma na kufananisha na mwaka jana au mwaka huu ili kuthibitisha ukinyonga wangu na kila mtu aone ninavyojiabisha. Pumba.vu mkubwa. Acha kuonyesha utaahira wako hadharani ficha ujinga wako badala ya kujibaragusa humu huku ukiandika pumba.
Haha umepanic mkuu! Wewe utakua wale wazee walioshindwa maisha halafu wanalaumu kila MTU kutokana na uzembe wao!
Raisi tembo hatufai hata kidogo,nafikiri kwa hili huyu mzee akisimama na watz wa4 yeye atakuwa na akiliAah kumbe gazeti.la mbowe.
Mazingaombwe
Toka umeanza kuniqote hamna lolote LA maana uliloandika, zaidi sana ya kuha.risha tu humu! Plus your age! Man you are finished!Acha ujinga wewe huwa si panick mie kwa lolote lile. Weka uzi za kuonyesha ukinyonga wangu badala ya kujibaraguza baraguza. Utindio wa Ubongo unakusumbua hadi kuandika pumba ambazo huna hata chembe ya uthibitisho. Acha tabia ya kukurupuka na kuandika upuuzi.
Toka umeanza kuniqote hamna lolote LA maana uliloandika, zaidi sana ya kuha.risha tu humu! Plus your age! Man you are finished!
TUNAHANGAIKA BURE KUSUBIRI 2020 WAKATI KINANA AMEKAA BURE TU PALE LUMUMBA KINANA NG'OA NANGA MELI YAKO ILE BEBA TEMBO HIYO KASHUSHE HATA BEIRA PORT MSUMBIJIHuyu anajiita Simba
TUNAHANGAIKA BURE KUSUBIRI 2020 WAKATI KINANA AMEKAA BURE TU PALE LUMUMBA KINANA NG'OA NANGA MELI YAKO ILE BEBA TEMBO HIYO KASHUSHE HATA BEIRA PORT MSUMBIJIHuyu anajiita Simba