Butiku: CHADEMA wanafadhiliwa wala sio siri

Butiku: CHADEMA wanafadhiliwa wala sio siri

Jinga lao kwani CCM haifadhiliwi na mafisadi walinde biashara zao za kando.?

Tunaona watu wanachangia hadi bilioni 10.

Kwanini mstiupe ushahidi wa kimaandishi hao mnaowaita mabeberu ila mkiwa mnatembeza bakuli la misaada mnawaita wahisani au marafiki katika maendeleo.

images - 2026-08-15T021603.720.jpeg
 
Nadhani angemtaja tu mzee Desderia wa "matako yenu" kuwa ana urafiki na balozi ya marekani mbona hilo liko wazi kuliko kuihusisha CDM yote.
 
Jinga lao kwani CCM haifadhiliwi na mafisadi walinde biashara zao za kando.?

Tunaona watu wanachangia hadi bilioni 10.

Kwanini mstiupe ushahidi wa kimaandishi hao mnaowaita mabeberu ila mkiwa mnatembeza bakuli la misaada mnawaita wahisani au marafiki katika maendeleo.

View attachment 3659211
GSM ni mwananchi ...je Marekani ni mnyama ili tuelewe??
 
GSM ni mwananchi ...je Marekani ni mnyama ili tuelewe??

Anafadhili CCM kama nani?

Hao Marekani hizo pesa sio za watu/wananchi kama huko Tanzania wanapotoa akina GSM..

Halafu mnashindwa nini kuweka uthibitisho wa kiwango cha pesa na malengo yake tuwaamini jinga lao?
 
naona mods mmepunguza ukali wa maneno lakini hoja hii ni muhimu kitaifa
Kama wamenyimwa ruzuku,tena ya halali wafanyeje? Wale kijani wanachota za walipa kodi wanavyotaka na ku force wafanyabiashara wakubwa wawachangie,hao je wana haki sana kuliko wengine?
 
Kama wamenyimwa ruzuku,tena ya halali wafanyeje? Wale kijani wanachota za walipa kodi wanavyotaka na ku force wafanyabiashara wakubwa wawachangie,hao je wana haki sana kuliko wengine?
unapataje ruzuku kama hujashiriki uchaguzi??
HURUMA SIO MALEZI
 
Kuna watu walitangulia tu kuja duniani… there’s nothing special about them.

Mzee anajenga hoja kama anawahadithia wajukuu story za alfu lela ulela.
Hii clip nilivyosikia neno "lakini, lakini" nikaishia hapo 😂
 
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku,

Hii nimeisikia kutoka kwenye moja ya podcasts zilizohusisha mahojiano kati ya waandaaji na aliyewahi kuwa katibu wa Rais Nyerere ndugu Butiku.
una maoni gani?

CCM pia inavuta toka kwa wezi waliotuibia Tegeta akina singasinga, warusi na wachina.
 
Huyo mzee aulizwe ile miradi kwa hisani ya watu wa Marekani inapitia cdm? Ama hajui anaongea nini? Aweke ushahidi ni kiasi gani hao cdm wamepewa na Marekani, na serekali imepokea kiasi gani toka kwa wamerakani ili tupime asemacho. Bado huyo mzee yeye na Wasira wanafanya siasa outdated mno.
Sidhani kama ni jambo baya CHADEMA kupewa fedha na wahisani. Nchi hizi ni wafadhili na wanatupa misaada mingi, hivyo ni lazima wahakikishe kuwa kunakuwa na demokrasia na utawala bora. Nothing new.
 
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku,

Hii nimeisikia kutoka kwenye moja ya podcasts zilizohusisha mahojiano kati ya waandaaji na aliyewahi kuwa katibu wa Rais Nyerere ndugu Butiku.
una maoni gani?

Hakuna chama cha siasa kisichofadhiliwa in one way or the other. Hata Chauma na ACT wanafadhiliwa vilevile, nashangaa kwanini Chadema ndio iwe story!
 
unapataje ruzuku kama hujashiriki uchaguzi??
HURUMA SIO MALEZI
Ruzuku wanayodai sio hii ya uchaguzi ambao hawajashiriki,wana madai ya ruzuku ya nyuma ambayo hawakupewa kwa makusudi. Iwapo unatetea kitu au unahitaji kumhukumu mtu msikilize kwanza,Kisha mhukumu baada ya kumsikiliza,usimhukume Kisha umsikilize; utakua umemuonea
 
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku,

Hii nimeisikia kutoka kwenye moja ya podcasts zilizohusisha mahojiano kati ya waandaaji na aliyewahi kuwa katibu wa Rais Nyerere ndugu Butiku.
una maoni gani?

Sawa. Kama wanafadhiriwa tatizo ni nini...!!? Wanawanyima ruzuku ili kuiuwa Chadema. Mbona hayo hayasemi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom