Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

NI UAMUZI SAHIHI KAMA SEHEMU ZOTE ZA HII JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao View attachment 1256289
View attachment 1256290View attachment 1256291

BINAFSI NIPONGEZE JUHUDI ZA WANANCHI WANAOCHUKIA UNYANYASAJI NA UKANDAMIZAJI NA ENDAPO WANANCHI KATIKA MAENEO YOTE YA WANANCHI WANGEKUWA NA UJASIRI KAMA HUU, USHAMBA WA WATAWALA WA AWAMU YA TANO UNGEPATA DAWA...…..SAFI SANA HUKO WALIPO WANYWE SODA NTAKUJA KULIPIA
 
Kwanini watz wanafurahi sana wakisikia au kuona viongozi wa seikali wamepatwa na majanga. Nakubaliana na wale wote wanaosema Tanzania inahitaji Muafaka (Maafikiano) y(w)a Kitaifa
 
Back
Top Bottom