Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,624
Mkuu watanzania wengi wana PHD ya malalamiko, huwa hawana jema na hawawezi kuliona hata siku moja. Wenyewe wanaita kutanua magoli, hawawezi kukosa hoja za kukosoa hata wakifanyiwa mema mangapi.Sijui nani alipendekeza, lakini idea ya mkuu wa nchi kushiriki hivi ndiyo format ya documentaries za Royal Tour.
Wamefanya hivyo wakuu wa nchi/ serikali wa Polamd, Mexico, Israel, Rwanda kabla yetu.
Kwa hivyo si kitu kilichoanzishwa na Tanzania.
Sitetei Royal Tour, naeleza kuelewesha tu kwamba hii ndiyo format ya documentaries hizi za "Royal Tour" na zipo nyingi kabla hii ya Tanzania.
The movie ni for international standards na sio local standard, hakuna ubaya wowote watu kushikana mikono, kuwa close na hata kukumbatiana na hata kubusiana as long as ni just acting!.
It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania ,
Rais Mama Samia was relaxed and very comfortable and felt at ease kwenye hiyo closeness, ni sign kuwa Rais Mama Samia is simple, humble and down-to-earth, na sio dalili yoyote ya inferiority complex. Mama Samia knows very well the women position mbele ya wanaumethat is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.
bange waachie wanaume. wanawake mnaweza mung'unya tubako.1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear
Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?
2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?
Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?
Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?
It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.
It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.
Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
hao mbwa wala hawawezi kukuelewa.Kumbe ulitaka rais aige toka hawa hawa marais wa afrika ambao kazi yao ni kujilimbikizia mali, kubadili suti na tai zao tu badala ya kuwatumikia wananchi wao?
Nilidhani unaoongelea kuwa rais SSH kavunja kipengele Fulani cha katiba.
Marais walio wengi wa afrika ni madikteta ndiyo maana hawawezi kukaa nje ya nchi siku nyingi Kama rais SSH. Si uliona yule mshenzi msukuma alikuwa hahudhurii hata mikutano ya kimataifa? Alikuwa anaogopa kupinduliwa
Na siku sizi wamebatizwa wanaitwa Wamasai wa Loliondo badala ya waarabTunaambiwa waarabu wa loliondo ni miongoni mwa waluochangia
Kumbuka hawa waarabu ndio wanataka wamegewe nchi kule ngororongoro
Mkuu watanzania wengi wana PHD ya malalamiko, huwa hawana jema na hawawezi kuliona hata siku moja. Wenyewe wanaita kutanua magoli, hawawezi kukosa hoja za kukosoa hata wakifanyiwa mema mangapi.
Rosto arm1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear
Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?
2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?
Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?
Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?
It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.
It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.
Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Time will tellKuna shida mahali , lakini tumeamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Huu upepo haupo sawa
The movie ni for international standards na sio local standard, hakuna ubaya wowote watu kushikana mikono, kuwa close na hata kukumbatiana na hata kubusiana as long as ni just acting!.
Rais Mama Samia was relaxed and very comfortable and felt at ease kwenye hiyo closeness, ni sign kuwa Rais Mama Samia is simple, humble and down-to-earth, na sio dalili yoyote ya inferiority complex. Mama Samia knows very well the women position mbele ya wanaume
Kwa msiomjua vizuri Samia karibuni hapa
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...www.jamiiforums.com
P"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Umeandika mengi mwishoni kabisa umekuja na CHADEMA kama mbadala wa CCM ndio ulipobugi mazima. Rwanda na Israel walifanya kitu kama royal tour na leo hii wapo juu sana kiuchumi.Royal Tour ni idea ya mzungu na ililetwa na mzungu akisaidiwa na wazawa.
Royal Tour nzima (kuanzia field work, uchakataji na uzinduzi) haijatumia gharama zozote za bajeti yetu wala fedha zetu. Kila kitu kimelipiwa na wenye idea yao.
Usiri mwingi umegubika suala zima la ROYAL TOUR. Yawezekana tumepigwa big time!
Na kama kawaida yetu ROYAL TOUR taratibu itaanza kuingizwa kwenye mambo "matakatifu" yasiyoruhusiwa kuhojiwa.
Tunashindwa kupay attention kwenye mambo ya msingi kabisa yenye manufaa kwa watu wetu, sasa haya ya Royal Tour yasiyoeleweka tutafanikiwaje? Je lile jumuiko haramu ndani ya bunge letu tumepay attention kweli? Na huko kwenye serikali za mitaa tumefanya nini kupinga yaliyofanyika? Ukishakubali kupokea au kufanya mambo ya ovyo wengine wanakuona uchochoro wa ovyo ovyo kupitishia mengi ya ovyo ovyo!
Kupay attention ndo kumkumbuka JPM na kutaka awekewe sanamu??
Tulipopinga Wamasai kuondolewa kwa dharura kwenye eneo la Ngorongoro wengi walihisi kama tunaipinga awamu ya 6 na tunakwamisha juhudi za SSH.
Kiini cha ROYAL TOUR yote ni kuwaondoa Wamasai NCA ili matajiri waje wawekeze mle bila bugudha. Tulijieleza vizuri lakini chawa wa ccm hawakutuelewa.
Kama lengo lilikuwa kuutangaza utalii wa Tanzania ni kwa nini hawakuigiza walahu kwenye emerging tourist circuits zinazopata taabu kuchuana na northern circuits?
Hiyo ROYAL TOUR ndo mdhamini wa operesheni ya dharura ya kuwaondoa Wamasai na kuwajengea kule Handeni bila hata kuwashirikisha kupata ridhaa yao.
(Katika historia... Wamasai wengi waliohamishiwa Handeni/Kilindi miaka ya nyuma waliishia kufa kutokana na changamoto ya mbu wa Malaria. Ngorongoro hakuna mbu wa Malaria!)
Zitakuja kujengwa hoteli za magorofa kwenye hifadhi zetu zikilaza watalii na kutoa fursa nyeti za ajira kwa wageni huku sisi tukiachiwa uchafuzi wa mazingira, kuongoza wageni, kuhudumia chakula na kutandika vitanda kwa ujira wa kitumwa!
Niungane na Freeman A. Mbowe... ccm imeshindwa na haitoweza kututoa kwenye mikwamo mingi iliyotutumbukiza!
Tujifunze kushikamana tunapotetea maslahi ya taifa hasa kipindi hiki ambapo hakuna siasa za upinzani!
Wenyewe wanasema ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kidogo... HAPANA! ROYAL TOUR oligarchs wanakula pakubwa sana tena kupitia kwa namba moja, SSH.
A step down kwa kuamua kusema ukweli?. Huo udanganyifu umeshafanywa na hao hao deep state miaka na miaka. Mkapa alituma watu wa usalama wakaenda kumuua Kombe akiwa amenyoosha mikono juu na hakuna aliyefanywa lolote.Tunakubaliana kwamba Mama aliudanganya Umma wa TZ juu ya kifo cha JPM, tunakubaliana kwamba deep state yetu nayo iliiridhia uongo huo, Na Sasa imekubali kuwa classified information imekuwa wazi kwenye documentary ya Mama ;
Ni ngumu Doc Kama ile iende publicly bila deep state kuipitia; ninaongea kwa hakika 100% . pale IKULU almost 75% ya vijana wa mule ndani ni security state ambao wanaangalia na kushauri na kutoa mapendekezo lakini hawapo katika positon ya Ku implement opinions na recommendation wanazotoa
Kuna mawili;
Wameliacha liende kama lilivyo ikiwa ni sehemu ya kuonesha weakness ya Mama na jinsi anbavyo Tanzania yetu haikupaswa kuwa na Rais wa hivi; na Umma waone kwamba kwa namna yoyote 2025 , tunapaswa kuwa na Rais mpya.
Pili, Mama is being used to manipulate the country, wazungu wanajua sana ku sniff a weak link na kuamua kufanya mambo yao kupitia weak link , wazungu hawakuelewana na JPM sababu JPM alikuwa ni Strong link na alikuwa na ego iliyochanganyikana na ignorance hivyo hawakumtaka na hawakutamani kufanya nae kazi. Wazungu ni capitalist and are always after their interest ... hawafanyi kitu hawana interest nacho , never on earth.
Kitu pekee Mayalla ulicho nacho , wewe ni storyteller , Na unajua ku flow na upepo. Sitegemei kama ungeweza kutamka kuwa JPM is a dictator wakati wa Uhai wake , ila ipo siku utakuja kutamka Mama was a big scam big time .
Time will tell , Captain
Mama anatakiwa ku step down kwa kuudanganya Umma. Au ni ipi adhabu ya mtu mdanganyifu kwa umma?
Mkuu chanzo cha kifo cha JPM ni afya yake, simple and clear. Alifanya mengi sana aliingilia kila sehemu na kwa hali ya kawaida tu asingeweza kutoka kote huko salama kiafya. Mengineyo ni conspiracy theories ambazo hatuna uwezo wa kuuweka hadharani ukweli wake.
A step down kwa kuamua kusema ukweli?. Huo udanganyifu umeshafanywa na hao hao deep state miaka na miaka. Mkapa alituma watu wa usalama wakaenda kumuua Kombe akiwa amenyoosha mikono juu na hakuna aliyefanywa lolote.
JPM aliuponda ugonjwa ukiwa ni wa moto, aliudhihaki ugonjwa na haukumuacha salama. Wasaidizi wake wote waliangushwa na Covid19 isingewezekana yeye akiepuke kikombe.
Lengo la Royal Tour ni pana sana kuliko namna SSH alivyouweka wazi ugonjwa wa JPM. Kama watanzania ni wachangamfu watafaidika na fursa nyingi zinazofunguka lakini kama n watu sceptical kila kukicha kama ni watu negative basi tutazeeka na kufa na umaskini wetu.
Hawa nao viongozi wao walikwenda kuweka kambi huko nje kama tunavyofanya sisi?Wamefanya hivyo wakuu wa nchi/ serikali wa Poland, Mexico, Israel na Rwanda kabla yetu.
Hawa nao viongozi wao walikwenda kuweka kambi huko nje kama tunavyofanya sisi?
Nchi hizi nao waliwatumia watu binafsi wasiojulikana kufadhili 'Royal Tour' zao?
Bila shaka kutakuwa kuna tofauti mbalimbali katika yaliyofanyika na ambayo hayakufanyika kufuatana na matakwa ya nchi hizo.
Sisi matakwa yetu, kama kweli ni yetu, yanaonyesha kumdhalilisha kiongozi wa nchi na nchi yenyewe.