Buswati la Royal Tour

Buswati la Royal Tour

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?

IMG_7465.jpg

Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
A. Rais hana majukumu ya msingi?
B. Nchi imepoteza muelekeo
C. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear

IMG_7464.jpg

Nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi? Who leads the country behind the scene?

IMG_7466.jpg

2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu?

Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi Tanzania wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi?

Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu?

IMG_7474.jpg

It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention. It is not just a royal tour.

IMG_7462.jpg

It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake.

Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame.

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people.

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;

IMG_7470.jpg

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
 
Tunaambiwa waarabu wa loliondo ni miongoni mwa waluochangia

Kumbuka hawa waarabu ndio wanataka wamegewe nchi kule ngororongoro
 
Acha kulalamika ndugu, chukua jembe ukalime. CCM ni ile ile, usanii ndio falsafa yake. Nchi itatafunwa mpaka akili itukae.

Magufuli yeye alikuwa anafanya royal tour yake ya kienyeji, akizunguka nchi kwa misafara ya magari huku akilindwa na utitiri wa makomandoo wakiwa na bunduki, helkopta kadhaa zikirindima angani, akisimama njiani kutafuna mahindi ya kuchoma, kununua matunda, kunywa kahawa kijiweni, kuzawadiwa kuku na kugawa mabulungutu ya pesa huku Tv zikirusha live!


Mama anaupiga mwingi.
Kazi iindelee.
Wizi uendelee pia!
 
Nilidhani ni mimi tu ambaye sijaafiki huyo mdudu anayeitwa ROYAL TOUR, kumbe tupo wengi.
Sijajua ni nani alituroga sisi Watanzania/Waafrika. Sisi ni mabingwa sana wa kuvunja Record za kijinga wakati wenzetu huko Duniani wanavunja Record za maana.

Ebu fikiri, ni Rais gani hapa Afrika na huko Duniani amewahi kukaa nje ya Nchi yake kwa wiki mbili,tena kwa kukaa katika Nchi hiyo hiyo moja bila sababu za msingi kama vile kuugua au mikutano?

Madudu mengi katika Nchi hufanyika wakati Rais akiwa nje ya Nchi, kwa hiyo Rais kukaa nje ya Nchi kwa Wiki mbili ni hatari kwa Taifa..

Lakini pia tujiulize, angekuwepo Biden angeweza kukaa hapa Tanzania kwa muda huo tuliokaa sisi?
 
Angalia Toyal Tour Rwanda kisha uje kuleta mboyoyo zako. Mbona Kagame ameshiriki Royal Tour Rwanda na hakuna madhara yoyote yalitokea?.

Unalalamika Rais kutokuwepo nchini kwa 2 weeks... je akiugua for two weeks kama binadamu wa kawaida utafanyaje? Acheni hizo insecurities mama anaupiga mwingi.
 
Ebu fikiri, ni Rais gani hapa Afrika na huko Duniani amewahi kukaa nje ya Nchi yake kwa wiki mbili,tena kwa kukaa katika Nchi hiyo hiyo moja bila sababu za msingi kama vile kuugua au mikutano?
Kumbe ulitaka rais aige toka hawa hawa marais wa afrika ambao kazi yao ni kujilimbikizia mali, kubadili suti na tai zao tu badala ya kuwatumikia wananchi wao?

Nilidhani unaoongelea kuwa rais SSH kavunja kipengele Fulani cha katiba.

Marais walio wengi wa afrika ni madikteta ndiyo maana hawawezi kukaa nje ya nchi siku nyingi Kama rais SSH. Si uliona yule mshenzi msukuma alikuwa hahudhurii hata mikutano ya kimataifa? Alikuwa anaogopa kupinduliwa
 
Kumbe ulitaka rais ajige toka hawa hawa marais wa afrika ambao kazi yao ni kujilimbikizia mali, kubadili suti na tai zao tu badala ya kuwatumikia wananchi wao?

Nilidhani unaoongelea kuwa rais SSH kavunja kipengele Fulani cha katiba.

Marais walio wengi wa afrika ni madikteta ndiyo maana hawawezi kukaa nje ya nchi siku nyingi Kama rais SSH. Si uliona yule mshenzi msukuma alikuwa hahudhurii hata mikutano ya kimataifa? Alikuwa anaogopa kupinduliwa
Uko sahih ubarikiwe na eid njema Sana kwako
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?

View attachment 2207936

Kuna Wizara ya Utalii ambayo jukumu lake kubwa ni kutangaza vivutio vya nchi, kitendo cha Rais kuingilia hili jukumu, nini tafsir yake ?
a. Rais hana majukumu ya msingi?
b. Nchi imepoteza muelekeo
c. Hatuna ajenda na njia mojawapo ya kuruhusu upigaji wa fedha kwa maana process zima na matumizi yake ya fedha haupo clear

View attachment 2207937

nchi inamatatizo mengi sana yanayohitaji attention ya Rais , nchi kukaa bila Rais takriban wiki 2 nzima inaleta tafsiri gani kwenye Financial Management and security state ya nchi ? Who leads the country behind the scene ?

View attachment 2207938

2. Rais kuwa Free na Kuingililika kirahisi na mwandishi wa habari na kundi lake na kuzunguka nae kama anazunguka na mtu wa kawaida inaleta tafsiri gani kwenye uimara na ulinzi wa nchi yetu ?

Je kulikuwa na ulazima gani rais kuwa Tour Queen ? Mbona tunawatu wenye ushawishi TZ wangeweza kutumika,Rais angeweza kuonekana kwenye Tour kipande kidogo tu ikiwa ni sehemu ya kuweka baraka zake, je hili lililotokea ni tafsiri kuwa nchi imepoteza agenda za msingi ?

Kwa namna ambavyo alikuwa akishikwa na kale kamwandishi kahabari, hii kama taifa inaleta tafsiri gani na heshima kwa taifa letu ?
View attachment 2207939

It was wrong idea kwa aliyependekeza rais kuwa Tour Queen , kuna kitu nyuma ya pazia hakipo sawa, let’s pay attention.... it is not just a royal tour

View attachment 2207940

It was wrong idea kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi kukamatana mkono na yule mzungu kwa style ile; hata kama sio romantic but kwa culture zetu za kitanzania , that is a sign of inferiority complexly to the president, Unless kama angekuwa ni husband wake ....

Serikali ilishatangaza kifo cha JPM kilisababishwa na matatizo ya moyo aliyoishi nayo takribani kipindi chote cha uhai wake, kitendo cha mzungu ku elaborate ile claim kwamba JPM alikufa na COVID 19, ni matusi kwenye idara ya usalama wa taifa na ni matusi kwenye taasisi ya ikulu... such claim haikutakiwa kuwa ni sehemu ya mazungumzo ya Royal Tour ... its a shame !

Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people

The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;

View attachment 2207941

something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala .
Ndio maana watu wanakwepa Uzi wako mnk huna unachojuu Zaid Sana Ni upigaji tu umekujaa kinywani mwako appreciate even a small thing acha kulalama mkuuu
 
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala .
Na nchi imetulia tuliiii, au siyo mkuu 'Megalodon'.

Sifa kemkem zinamiminika kwa kiongozi kama ulivyoshuhudia leo Mei Mosi, hata bila kuwepo sababu yoyote ya kumimina sifa!

Nchi yetu hii imedhihirika wazi pasi shaka yoyote kwamba tupo 'vulnerable' (sijui neno zuri la kiswahili) kwelikweli.

Binafsi sasa najuwa ni jinsi gani mfumo wetu wa kuwapata viongozi wa kutuongoza ulivyo haribika kabisa. Wakati huu tunaweza kuwekewa na limbukeni yeyote na akatutawala, na tukawa tunakenua tu meno kama wapumbavu fulani hivi.

Sijui kama kuna siku tutakuwa tunayaangalia haya tunayoshuhudia sasa na kushangaa ilikuwakuwaje hadi tukafikia hatua mbovu kama taifa kiasi hiki tunachoona.

Na kama hatutazinduka, uongozi kama huu ukae pale miaka kumi au zaidi, sijui tutakuwa nchi ya namna gani sisi!
 
Sekta ya Utalii iliathiriwa sana na ugonjwa wa UVIKO 19 kwahiyo ni idea nzuri.
Sikusoma popote mwandishi wa mada alipoandika 'idea' kuwa mbaya; lakini nilisoma mahala akiulizia uwepo wa wizara nzima inayoshughulikia kazi za utalii.

Mimi baada ya kusoma hayo wazo likaniijia: Hivi yule balozi wetu aliyeko Washington DC, (nasika aliwahi kuwa mrembo au sio)?

Na kwa vile soko letu kubwa tunalolenga ni huko huko, hivi ingekuwa si bora kumtumia yule vizuri zaidi kuliko huyu? Na kuna sabau nyingi nyingine zinazomfanya huyu Balozi kuwa Tour Guide mzuri zaidi kuliko hata huyo 'Queen', lakini sitazitaja hapa.
 
Back
Top Bottom