Busu lako la kwanza lilikuaje??

Busu lako la kwanza lilikuaje??

Daah nakumbuka nlikua nina ngisugii mdomoni af dem wangu katoka kula ubwabwa samaki lakini tukakiss regardlessly..
 
On my bed sina usingizi,najaribu kumkumbuka mpenzi wangu WA kwanza.nakumbuka first kiss.it was so good..nilikua kijana mdogo like 17..kijitonyama mida ya jioni,namsindikiza my girlfriend,kafika kwao akaniomba aniage na busu,slowly kanikiss mdomoni..nusu nipagawe and sikutaka kuondoka..hah bado nakumbuka..share experience yako..ilikuaje??


Sikuamini macho yangu maana nilishindwa kula ile siku mpaka Mama akawa na wasiwasi nimerogwa na majirani zetu waliokuwa wanamaindi wazazi wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom