Busu lako la kwanza lilikuaje??

Busu lako la kwanza lilikuaje??

Dah acha kabisa, ilikuwa sekondary olevo, nikamvuta mtoto mzuri balaa nyuma ya mlango wa darasa wakati wanafunzi wameruhusiwa kwenda nyumbani. Nikamcharaza kiss akadondoka chini pwaaaa akakata network kidogo nikamuinua. Siku-feel lolote hapo gansta enzi hizo ila mtoto alinipenda balaa akaja bebwa na wenye mapene miaka mingi baadae.
 
On my bed sina usingizi,najaribu kumkumbuka mpenzi wangu WA kwanza.nakumbuka first kiss.it was so good..nilikua kijana mdogo like 17..kijitonyama mida ya jioni,namsindikiza my girlfriend,kafika kwao akaniomba aniage na busu,slowly kanikiss mdomoni..nusu nipagawe and sikutaka kuondoka..hah bado nakumbuka..share experience yako..ilikuaje??
 
Ilikuwa disco za skul tht time mida ya jion .. daah yule demu alitaka adi niende nae bwenini kwake [HASHTAG]#nafikir[/HASHTAG] naye pia ilikuwa mara ya kwz..
 
Kwaiyo mdomo inaweza ikawa sababu alikuacha dogo

Jitahidi kusukutua na kutoa ugoro vizuri..rubbish
Mkuu mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya,nimecheka sana umenikumbusha rafiki yangu alikwenda kumuona B/F wake sasa jamaa anakula ugoro halafu he is only 30 jamaa anapenda kiss hatari sasa shogangu anasema ni shidaa tuu shosti ila jamaa hata hapigi msuwaki au hajui kama hii harufu inakera kima mara KISS mpaka mdada anakutana na chembe chembe za tumbaku, nilicheka mpaka mpaka sasa nikikumbuka nachekaaaaaaaaa manake sipati picha harufu ya ugoro ..
 
Kuna demu nilimkuta mtandaoni
Baada ya kuchat kama week hiv tukamee

Yaan hatujawai kuongea hata neno kuhusu love but chakushangaza siku tunaonana tulikissiana automatic

Yaani mtoto ana lips laini hatar

Sijawai kiss lip lain kama zile before
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom