OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,912
ChatoJe bustani ya Eden ipo East Africa?
Inawezekana usishangae jibu lako likawa sahihi.Chato
Hahahaahaha don't take life too serious, you will not get out of it aliveMkuu
Inawezekana usishangae jibu lako likawa sahihi.
Hiyo habaribya fuvu ilishapitwa na wakati kuna viungo vingine vingi kwenye nchi mbalimbali vimegunduliwa na ma archeologists vyenye umri mkubwa zaidiBinadamu wa kwanza aliishi yapata miaka milioni tatu iliyopita, fuvu lake liligunduliwa huko oldvai George na mwana akiolojia Dr Leakey akiwa na mke wake Mary Leakey,
Mwanzo Adam na Eva waliishi ktk bustani ya Eden, baada ya kula tunda wakafukuzwa wakaambiwa waishi nje ya bustani ya Eden,
Lakini pia kwenye biblia wametaja kuwa kulikuwa na wanyama wakubwa dinosour, juzi huko mtwara mabaki ya mifupa ya dinosour yenye uzito wa tani tatu yaligunduliwa huko. Pia mifupa kama hiyo imewahi kugunduliwa na wanasayansi huko Rukwa
Kwa mantiki hiyo ni wazi kuwa bustani ya Eden ipo umbali mfupi kutoka mahali ambapo fuvu la binadamu wa kwanza na mifupa ya dinosour ilipogunduliwa,
Je bustani ya Eden ipo East Africa?
Mkuu hebu tuwekee sourceHiyo habaribya fuvu ilishapitwa na wakati kuna viungo vingine vingi kwenye nchi mbalimbali vimegunduliwa na ma archeologists vyenye umri mkubwa zaidi
Mfano ni 1.. Sahelanthropus Tchadensis huko chard 2. Ororin àTugenensis huko kenyaHiyo habaribya fuvu ilishapitwa na wakati kuna viungo vingine vingi kwenye nchi mbalimbali vimegunduliwa na ma archeologists vyenye umri mkubwa zaidi
Nabii aliyetuongoza kuelekea donor country is no more.Mimi niliwahi ambiwa ile nchi ya ahadi ni tz