eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Tofauti za rangi na kabila zilikuja wakati wa mnara wa babel hapa watu walikua wanaongea luga 1 na watu walikua kitu kimoja lakini kwa kua lengo lao ni kutengeneza mnara wa kufika mpaka mbinguni na uwexo wa kujenga walikua nao mungu akaamua kuwafanya wasielewane kwa luga na rangi zao yaani kila MTU akaongea luga yake mpya ambayo mungu alimpa na wakawa hawatambuani kutokana na rangi zao kubadilikaNa hilo suala la kuzaliana na kuijaza dunia linachanganya. Maandiko yanasema Adam na Eva waliwazaa Kain na Abel ambao wote ni wa kiume. baadaye kaini akamuua Abel. Hivi waliongezekaje mpaka tukawa wengi kiasi hiki wakati mwanamke pekee alikuwa Eva? Na je waafrika, wachina, wakorea na wajapani au wahindi walitokeaje katika uzao mmoja. kwa kifupi ni kuwa tofauti za rangi zilikujaje wakate wote ni uzao wa Adam na Eva/Hawa?
Na walipoona hawatambuani kila mmoja alimtafuta mwenzake waliokua wanazungumza luga inayofanana na kundoka nae hapa ndio chanzo cha makabila mbalimbali ikiwemo China India uingerza na huko nyuma walijulikana kwa majina mengineNa hilo suala la kuzaliana na kuijaza dunia linachanganya. Maandiko yanasema Adam na Eva waliwazaa Kain na Abel ambao wote ni wa kiume. baadaye kaini akamuua Abel. Hivi waliongezekaje mpaka tukawa wengi kiasi hiki wakati mwanamke pekee alikuwa Eva? Na je waafrika, wachina, wakorea na wajapani au wahindi walitokeaje katika uzao mmoja. kwa kifupi ni kuwa tofauti za rangi zilikujaje wakate wote ni uzao wa Adam na Eva/Hawa?
Dah kwaio wale weusi akawanyima na akili kabisa afu akawafanya watumwa haikua fair kabisaNa walipoona hawatambuani kila mmoja alimtafuta mwenzake waliokua wanazungumza luga inayofanana na kundoka nae hapa ndio chanzo cha makabila mbalimbali ikiwemo China India uingerza na huko nyuma walijulikana kwa majina mengine
Na wale walio toa idea ya ujenzi akawapa rangi nyeusi akawanyima na akili na akawafanya wa nyuma nyuma maana mwanzo walikua vimbele mbeleTofauti za rangi na kabila zilikuja wakati wa mnara wa babel hapa watu walikua wanaongea luga 1 na watu walikua kitu kimoja lakini kwa kua lengo lao ni kutengeneza mnara wa kufika mpaka mbinguni na uwexo wa kujenga walikua nao mungu akaamua kuwafanya wasielewane kwa luga na rangi zao yaani kila MTU akaongea luga yake mpya ambayo mungu alimpa na wakawa hawatambuani kutokana na rangi zao kubadilika
Hahahahaaaaa Yasemekana hawa waliofanywa weusi ndio walitoa wazo la kujenga mnara wa babelDah kwaio wale weusi akawanyima na akili kabisa afu akawafanya watumwa haikua fair kabisa
Hahahahahahaa itakua kweli kabisaa maana hii rangi nyeusi baada ya wazo la ujenzi wa mnara hakuna wazo lingine walilitoa yani sio idea wala invention...tumekua wanyuma nyuma hadi mifumo ya elimu tumecopy hadi pesa tumenyimwaHahahahaaaaa Yasemekana hawa waliofanywa weusi ndio walitoa wazo la kujenga mnara wa babel
Bado sijaelewa kitu hapoNa walipoona hawatambuani kila mmoja alimtafuta mwenzake waliokua wanazungumza luga inayofanana na kundoka nae hapa ndio chanzo cha makabila mbalimbali ikiwemo China India uingerza na huko nyuma walijulikana kwa majina mengine
Kuhusu kuzaliana na kuijaza dunia ilikuwaje? Maana hapo mwanamke alikuwa ni mmoja tu ambaye ni Eva. Sasa Yupo Adam, Kaini na Abel alyeuliwa baadaye/ Wengine walitoka wapi mpaka tukawa kibao leo?Tofauti za rangi na kabila zilikuja wakati wa mnara wa babel hapa watu walikua wanaongea luga 1 na watu walikua kitu kimoja lakini kwa kua lengo lao ni kutengeneza mnara wa kufika mpaka mbinguni na uwexo wa kujenga walikua nao mungu akaamua kuwafanya wasielewane kwa luga na rangi zao yaani kila MTU akaongea luga yake mpya ambayo mungu alimpa na wakawa hawatambuani kutokana na rangi zao kubadilika
Ni hii hii Danganyika!Mkuuu Tanganyika! be serious bana! Tnganyika hii hii ya chama?
Haswaaaa!IRAQ ni nchi takatifu, hata Yesu inasadikika aliishi hapo, manabii karibia wote waliishi hapo, ndio chimbuko la Adam na Eva.
Hahaha umetisha mkuuDah kwaio wale weusi akawanyima na akili kabisa afu akawafanya watumwa haikua fair kabisa
Hizo nazo ni story za kusadikika tu walijuaje kua ni la binadam wa kwanzaTanzania lilipopatikana fuvu la mtu wa kale
Kitu gani hujaelewa mkuuBado sijaelewa kitu hapo
Baada ya Abel kufa alizaliwa Seth na unajua tena zamani watu kabla ya mungu kumpa Musa zile sheria wslikua kama wanyama tu ilikua ni kawaida mtoto kumrudia mama na kuzaa nae yote yanawezekana tu japo biblia haituambii mke wa kaini na Seth waliwaolea wapi inasema tu wakaoa na kupata watoto so inawezekana walimrudia mama yaoKuhusu kuzaliana na kuijaza dunia ilikuwaje? Maana hapo mwanamke alikuwa ni mmoja tu ambaye ni Eva. Sasa Yupo Adam, Kaini na Abel alyeuliwa baadaye/ Wengine walitoka wapi mpaka tukawa kibao leo?
Ukimchunguza kuku hutamla naona tuache tu libaki fumbo la imani. Kusema kweli Biblia huwa inachanganya sana katika stori zake. Kuna moja eti mzee mmoja alisafiri na watoto wake wawili wa kike kwenda nchi fulani. Kufika huko wale wasichana wakakosa watu wa kuwingilia yaani kufanya nao mapenzi. Wakaamua kumnywesha baba yao mvinyo alipolewa siku ya kwanza mkubwa akalala na baba yake. Kesho yake mtoto wa pili naye akamnnyesha babake alipolewa akalala naye. Biblia inasema wote wakapata mimba wakazaa watoto ambao waligawanyika wakawa mataifa mawili. Atyakaye taka kifungu nitampaBaada ya Abel kufa alizaliwa Seth na unajua tena zamani watu kabla ya mungu kumpa Musa zile sheria wslikua kama wanyama tu ilikua ni kawaida mtoto kumrudia mama na kuzaa nae yote yanawezekana tu japo biblia haituambii mke wa kaini na Seth waliwaolea wapi inasema tu wakaoa na kupata watoto so inawezekana walimrudia mama yao
Hii ni kweli huyu ni lutu na binti zake wawili baada ya sodoma na gomora kuteketeaUkimchunguza kuku hutamla naona tuache tu libaki fumbo la imani. Kusema kweli Biblia huwa inachanganya sana katika stori zake. Kuna moja eti mzee mmoja alisafiri na watoto wake wawili wa kike kwenda nchi fulani. Kufika huko wale wasichana wakakosa watu wa kuwingilia yaani kufanya nao mapenzi. Wakaamua kumnywesha baba yao mvinyo alipolewa siku ya kwanza mkubwa akalala na baba yake. Kesho yake mtoto wa pili naye akamnnyesha babake alipolewa akalala naye. Biblia inasema wote wakapata mimba wakazaa watoto ambao waligawanyika wakawa mataifa mawili. Atyakaye taka kifungu nitampa
Endelea kubisha na kukubali story unazotungiwa na watu weupeHizo nazo ni story za kusadikika tu walijuaje kua ni la binadam wa kwanza