Business Partner Needed (Urgently)

Ona Sasa

Member
Jul 2, 2009
65
11
We have a viable business which has shown a good trend as far as profitability is concerned, If you are interested to to invest as well as being a partner in a start up business with the capital which is not more than 5m, don't hesitate to call 0715 583 582.
 
business za partnership zinahitaji watu mfahamiane vizuri hsa ktk suala la uaminifu! unapomtafuta partner ktk thread hii, are you sure we ni mwamin ifuvykutosha au unauhakika gani utakaye mpata atakuwa mwaminifu ktk biashara yenu? au unasearch wa kumliza?
 
And what is the type of business mnayoendesha
na je umeshatayarisha partnership deed
na je kwa nini msianzishe company limited by share ambayo mtu anakuwa liable to the tune of his or her contribution rather than partnership ambayo in case of anything mzee wanakwangua mpaka account personal
Na kama mshauri hapo juu alivyotoa angalizo issue ya partnership inahitaji kufahamiana sana aise
 
you can be serious!!....unatafuta mshirika wa biashara kirahisi rahisi hivi...halafu unataja na kiwango kabisa...hiyo biashara ni changa sana kwani mtaji wa milioni 5 ni mdogo. fanya mchakato na mabenki wakupe hiyo hela uiongezee kwenye hiyo biashara kuepusha lawama na dhuluma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom