teresa emanuel
Member
- Dec 19, 2016
- 79
- 48
Natafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni
Natafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni
mbeya sehem gani?jinsia yako kwanza,
Ungetaka romantic partner ungepata mrejesho fasta mno Mkuu.
we uko wapi kwanza
nipo mbeya.fursa zipo tatizo mitaji
Una uzoefu wowote kwenye biashara mkuu au ni biginner? If experienced personnel you can try to come in touch with meNatafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni
Teresa , kwamfano ni biashara Zipo ambazo unafikiria kuzilengaNatafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni
ok niambie kwanza wazo lako la biashara nione kama naweza kuungana nawewe.naamini we mbeya ni mwenyeji huenda kushinda mimi lazima utakua unafahamu watu wa mbeya wanapenda nini japo wageni tupo wengi pia
Una uzoefu wowote kwenye biashara mkuu au ni biginner? If experienced personnel you can try to come in touch with me
Teresa , kwamfano ni biashara Zipo ambazo unafikiria kuzilenga
huku bwana kuna kutoa mazao vijijini na kuleta mjini pesa ipo ila mtaji unone kidogo,biashara ya bar mbeya sikuizi kuna walevi sana kama zilivyo gest nyingi basi na bar zinatakiwa kuwa nyingi,biashara za huduma kama usafirishaji hasa bajaji ndio ipo sokoni sana nayo kwa mbeya mjini hapa,
hapa mjini vyuo vpo vingi unaweza kuwekeza kwenye chakula kuwauzia wanafunzi na wapita njia hapa inahitajika ubunifu tu ili kuwavuta wake kwako,biashara ya nguo pia
NichekiiNatafuta business partner mkoa wa mbeya tupeane mawazo ya kuanzia biashara mkoani mbeya aliyemkoani mbeya.asanteni