Business partner invited,no capital required but you get paid

Business partner invited,no capital required but you get paid

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,138
Reaction score
2,598
Naomba nitumie swahili,nakaribisha mtu ambae yuko tayari kujoin force katika kampuni yangu,kazi yake kubwa itakua ni kwenda 'kulob' kazi sehem ambazo tutakua tumechukua tender na kufanya marketing,malipo yake yatakua kwa % kutegemea ile budget ya tender husika ama kazi atakayokua ameleta na tutasainishana contract.Kwa sasa kampuni imekua na inahitaji niwe na wewe ambae pia tutashauriana zaidi juu ya opportunity zingine zilizopo na tutakapofanikiwa malipo yako yako utapata kwa stahiki ya mafanikio yale.kwa alie tayari anaweza nitumia CV yake mirindimo@gmail.com,kampuni yangu inahusika na mambo ya IT and general supplies,Marketing pia we have sub company ina deal na mambo ya construction!
 
je gharama za lobbying ( malazi, usafiri n.k) anapaswa kujigharamia?
 
salaam mkuu... samahani lakini, unahitaji mtu wa kumconsign kama wakala flani wako hvi au unahtaji biznes patna? thought there will be sharing of profit and loss kwa
pasent flani... BTW, am ready and I've been looking for such opportunities...
 
je gharama za lobbying ( malazi, usafiri n.k) anapaswa kujigharamia?
lobbying tunafanya kwa kazi za hapa hapa Dar ikitokea kazi ya mkoani utalipiwa hizo gharama
 
salaam mkuu... samahani lakini, unahitaji mtu wa kumconsign kama wakala flani wako hvi au unahtaji biznes patna? thought there will be sharing of profit and loss kwa
pasent flani... BTW, am ready and I've been looking for such opportunities...

Sio kama wakala, tukiona kazi we lob then tunakaa mezani kila kitu kinawekwa open na we agree on your percent tunafanya kazi , rem haitakua 10% kwa sababu nathamini mda wako pia uliotumia kupata kazi itakua zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom