ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 110
Wakuu naombeni ushauri wenu juu hizi kizi.
Kati y business information technology na information technology ipi ni nzuri zaidi..
naingia degree mwaka wa kwanza (business information technology) pale UDSM na tayari nimeshai-confirm.. but wengine wanasema et information technology ni bora zaidii ikiwezekana niende nibadilishe kozi nikiingia chuoni..
Japo mimi bado nimesimama kidete na hiyo business information technology.. kwa hiyo kabla sijafanya maamuzi yoyote tofauti na hayo ya nyuma, naombeni nyinyi pia mnishauri kulingana na uelewa wenu..
advance nimesoma egm .
Japo napenda sana mambo ya IT, .. sasa vip nipige IT alone au niipge IT na business?? Ushauri wenu wakuu....
Jamani msaada na ushauri wenu basi..