Business idea: Deactivate pills

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,489
Baada ya wimbi la matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume hatimaye BabaMorgan nimekuja na wazo la tofauti la kusambaza dawa za kupunguza na kuondoa kabisa hamu ya tendo la ndoa.

why dawa ya kupunguza au kuondoa hamu ya tendo la ndoa(deactivate pills)

1- sio kila mtu yupo interested kufanya mapenzi ila sababu za kiumbaji( kibailojia) uwalazimisha kushiriki tendo la ndoa.

2-Wanandoa waliopo kipindi cha uzazi(ujauzito&kujifungua) ni kipindi ambacho wanaume wengi uwa na kiwango kikubwa cha hashki ya kufanya mapenzi na hawapo tayari kuwasiliti wenza wao ili kuepuka kuharibu mtoto.

3- kupunguza ubazazi(ubakaji kwa watoto na wakubwa, mapenzi ya jinsia moja ushoga na usagaji)

4-kuwapa fursa wale wanaopenda kufocus kwenye shughuli za maendeleo bila kujihusisha na mapenzi.

Jinsi Deactivate pills itakavyofanya kazi.
Mosi ni kuwa dawa hii haitakuwa na madhara yoyote katika mwili wa binadamu utachagua kipindi ambacho unataka usiwe una hamu na tendo la ndoa inaweza ikawa Siku, wiki, mwezi, mwaka na hata miaka.

Dawa itakuwa katika mfumo wa vidonge.

Nakaribisha maoni na maswali pia ili kuweza kufanikisha project yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom