Business deal

nyendo kintu

Member
May 31, 2011
20
2
Hi wanajamvi badala ya kusaga viatu kutafuta vibarua tupo hapa Ngara tumeamua kujiajili katika sekta ya viwanda vidogo kama wajasiliamali tunaomba kama kuna mtu anaweza kutusupply fats ( mafuta ya mawese) hapa Ngara kagera tuwasiliane tupo katika biashara ya saponification. Kwa wenzetu waliopo kigoma wanaweza kutusupply kwa uzuri zaidi.Only serious people can contact us on 0753 766486.
Nawasilisha wakuu.
 
Unahitaji hayo mafuta kiasi gani na je ntakusupply kwa muda gani? Km hapa utaona wanga wengi twenzetu pm au nicheck kwa mkisusi@gmail.com
 
Back
Top Bottom