Business card ya Massage Clinic

Poa tu, si massage tu jamani kwani kuna nini zaidi? hafanyiwi mtu massage kama haihitajii.

Isitoshe, kama ni business card tu, hiyo ndio hata usiwe na shaka kabisa, kwani wengine waume zetu ni wajasiriamali kwa hiyo tunakumbana na business card kila namna, nakumbuka nilikumbana na business card ya Gozi langu saloon ya kike. Nikamezea tu wala sikuuliza imefikaje.
 
Hapana mkuu Laussane kama kakuta Business card ya massage parlour flani saba zinazo ongoza kwa mambo yanayoambatana na massage kwakweli inabidi awe na wasiwasi totoz zingine zipo pale KUTUHUJUMU.

Umelonga mkulu! Jamani sifa za massage clinic zinajulikana, ndio maana nataka kujua wenzangu mngefanya nini
 
Back
Top Bottom