Bushoke nambari one?

Huo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, I feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.

Then You're One Of The POPOMAS Am Talking About!
 
Kama ni mkeo wa ukweli utamsaidia tu. Imagine mke anaumwa halafu msaidizi "house girl" ndio naringa kutaka kuondoka.
 
huo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, i feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
safii sana..sio unakua umeoa kijakazii
 
huo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, i feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
si bure umerogwa
 
safii sana..sio unakua umeoa kijakazii

Hao wako wa aina mbili, kuna wale watoto wa mama, hawa sana sana wanaoa mademu dizaini ya beki tatu kwahiyo unajua nini kinachofuata, na wengine wamekulia kijijini na mademu zao ndio wa huko huko, hawa hata kutengeneza chai ya kunywa mwenyewe anaona aibu, mawazo yake watu watamuona f.ala.
 
Hiyo picha inatoa taswira mbili ambazo twapaswa kuzielewa...
1- katika hali ya kawaida kuwa kila kitu kipo normal sio kawaida au hata busara kwa baba kuwa bize kiasi hicho anakosha watoto na wengine kafunga mgongoni.
2- katika hali isiyokuwa ya kawaida (kwa mfano jana mh. Sugu kapewa mwanae na bi nani yule almaarufu wa kukaa uchi yulee) kwahiyo mtoto kajisaidia namuona mh. Sugu akiingia front na kumsafisha na kumvisha na kumlisha mwanae...kumbuka hapo mama hayupo na hakuna cha beki tatu wala nne.

Tusikimbilie kulalama mara bushoke mara mume ----- mara limbwata....kunawakati katika maisha unalazimika kuyafanya hayo kuziba pengo la muhusika halisi ambaye ni mama na hakuna mbadala kwa wakati huo.

Au hamujawahi kuona mtu katupiwa mtoto offisini inabidi ageuke kuwa mama kwa wakati huo...haya mtoto ka-poop unampatia nani uliyezaa naye hapo ofisini kwako ambadilishe pampas?

Halafu musijifanye hamjui kitu hapa...nyie huwa hamuogi na watoto na unakuta dogo kakulilia baba nataka nioge na wewe...ili asione dushe lako unalazimika kumuogesha kisha unamtoa unaingia kukoga rasmi wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…