bush na osama: picha za hivi karibuni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bush na osama: picha za hivi karibuni!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by minda, Sep 27, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tunaambiwa mzee wa kukwepa kiatu kwa sasa mambo yake swaaaaafi; kifriji kinachomoza utadhani mtemi fulani wa kiafrika au mbunge wa bongo; huku akitumia muda mwingi kupiga soga na mkewe Laura!!!

  [​IMG]

  Osama naye tunaambiwa tangu afurumushwe tura bora, mambo yake poa kabisa kwani anaishi uswazini kweupeeee; amepangisha nyumba nzima huko pakistani na nasikia ni mzee wa chuma!!!
  [​IMG]

   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  We minda hujatulia hivi wewe ni me au ke ila picha zako hazina mvuto maana ni photoshop..
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  me dume dadangu!!!
  photoshop: asante bado najifunza; kumbe we hizi picha unazopostigi huwa unapiga mwenyewe!! hongera sana itabidi nikutafute unipatie japo 'kifurushi kimoja' tu.
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Na kwenye kifua ameweka heleni au pete?
   
 5. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  adobe.
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mie sio dada ni kaka mazee 'Kifurushi kimoja' ndio nini?
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nice bikino Osama:tonguez:
   
Loading...