Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu! Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.
Kwa Mwendo Wa Alivyoliingiza Hasara Taifa kwa Uchakschuaji Wa Katiba ya Warioba Sitta Hafai Hata Kudogo.
Huyu mzee hovyo kabisa, nilisikiza mahojiano yake na AZAM TV nikabaki kuduwaa. Anajiona ni yeye tu mwenye haki ya kuwa spika!
Naunga hoja mkono kwa 100%,huu ni muda wa kwenda kurina asali kama bado anajiona ana nguvu,mambo ya uheshimiwa spika asahau,tumemchoka huyu hana tofauti na akina Wassira matokeo yake wanadhalilishwa na wajukuu zao .Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu! Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.
Nadhani ni wakati Magufuli amwambie bwana eeh kapumzike CCM inataka mabadiliko,tunataka spika kijana,hata kule Zanzibar pia niwaki Kificho nae akapumzike wawapishe wengine wasifanye usultani kwenye kazi ya kuwatumikia wananchiNadhani CCM wawe Na kitengo cha ushauri tunataka speed ya maendeleo.