Hapo kwa Bold ni Kitabu cha Kiswahili Drs la 4 cha Education, cover la Blue.
Ndimo stori hii ilipo.
ukimuona paka na kipande cha nyama....apigwe tu, nasema apigwe hadi afe!!!
Mbona kuna jambo kama unataka kuniambia vile! we sema tu!!!!!!
uwiiiiii
unataka kuchukua cheo cha unajimu
tabiri nione kama unaweza kuingia kazini.
mwenzangu unakumbukumbu sana inafaa uende chuo kusomea ualimu
Akasomee mara ngapi?labda Akabobee kwenye Uzamivu