Naibu Waziri Mambo ya Nje leo amepokea msaada wa mchele tani 100, mahindi tani 50, sukari tani 30 kutoka Burundi kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba mkoani Kagera.
hakuna tatizo hapo,kwani mengi na burundi nani tajiri??acheni chuki za kipuuzi kwa nchi yenu,halafu hiyo title ingekuwa "burundi imetoa msaada kwa waathirika"..ila wale wanaoponda waambieni Genda Heka linawaona
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu
Divert hiyo misaada iende Ngaara na Gasuru baba buja, bantu bana deseka kama kamba mwe twichara ng'efuzi. tuwape tu. Tetemeko si vita bandughu. Nabengine ba kongo banataka misaada sababu ya tetemeko ra reo bajameni. Watz wanatanzanite.