jk alitoa adhabu kali mno hadi leo kule rwanda kuna refugees toka tz. sorry to see that. pia, kati ya vitu ambavyo kagame alijilaumu ni kuingia katika mgogoro na tz kwasababu ilileta uhasama mkubwa sana kati ya raia wa nchi hizi mbili katika kila kitu jambo ambalo halikuwa la msingi kabisa, na kwa kufanya hivyo ameondoa imani kwa tz hatutakuja kumwamini tena/rwanda maisha yote. refugee 7,000 hadi 12,000 kuingia Rwanda toka mikoa ya karibu ilikuwa adhabu tosha. na operation kimbunga was just kubip ili ajaribu kujibu mapigo tuingie vitani jambo ambalo hata kama watz tungepata hasara, lakini rwanda walikuwa wanapata hasara kubwa kuliko sisi. kwa bahati mbaya, utawala wetu wa sasa, haupo kama jk na sidhani kama burundi wakionewa tutawasaidia kwa lolote. too bad.