jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
JK kashakushikisha adabu yuko zake msoga kapumzika we endelea ligi ndogo....Dis time niko kamili hata jk anajua
JK kashakushikisha adabu yuko zake msoga kapumzika we endelea ligi ndogo....Dis time niko kamili hata jk anajua
Viip kuhusu JK??Kagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
Jk alifika rusumo in less than 1w hrs kagame aliomba pooI agree with you Mr. President Kagame is very strong, but kuhusu ile tofauti yao na JK, i can assure you Our JK was next level
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]JK kashakushikisha adabu yuko zake msoga kapumzika we endelea ligi ndogo....
kagame alipanic sana, na kuanza kuongea kama zuzu Fulani baada ya kuibiwa kizibo cha sodaI agree with you Mr. President Kagame is very strong, but kuhusu ile tofauti yao na JK, i can assure you Our JK was next level
Tanzania ndio waliongoza operations, Malawi wanatafuta sifabasi nimepita sehemu katika post za malawi wanasema M23 ilipigwa na wamalawi na sio wabongo, ati wabongo walikuwa wanawaogopa m23. hahaha. M23 wale walikuwa wa kagame pure na hakuna ubishi, na kama asingekuwa mpole, ndio kipigo kilikuwa kinaelekea kigali. tungeenda kuwakomboa wanyarwanda wanaopata shida hawana uhuru wanauawa kila siku.
Kagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
Burundi ni wa kuchangiwa na mataifa mawili ili apigwe?Hata Commoro inamchapa Burundi mchana kweupeNi bora huo mtafaruku uishe kwa njia ya dipromasia. Kwani hao jamaa rwanda and burundi wakiingia vitani Tz itaathirika zaidi kwa wakimbizi isitoshe kwa urafiki wa JPM na PK kuna uwezekano tukawasaidia rwanda.ambapo burundi itashindwa. Waishie hapo hapo i love Tz , Burundi and Congo DRC.
Acha kuandika Pumba wewe Wanyarwanda mpaka kesho hawamsahu JK Inaelekea hizi nchi huzitembelei au hujawahi hata kuzitembelea Eti Mzee wa watu akawa mpole Hovyoooo ..Gogoro linatokea nipo Butale na Cyangougou Rwanda /DR Congo Border Uliza utaambiwa alitamani ardhi ipasukeKagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
ivi unaijua burundi au unaisikia yaani burundi ikingia vita na rwanda yaani rwanda itachakazwa mara mojaNi bora huo mtafaruku uishe kwa njia ya dipromasia. Kwani hao jamaa rwanda and burundi wakiingia vitani Tz itaathirika zaidi kwa wakimbizi isitoshe kwa urafiki wa JPM na PK kuna uwezekano tukawasaidia rwanda.ambapo burundi itashindwa. Waishie hapo hapo i love Tz , Burundi and Congo DRC.
burundi ni rafiki na somalia sasa kama mnataka kuiona dunia chungu nyie wachokozeni mtaona balaa lakeBurundi ni wa kuchangiwa na mataifa mawili ili apigwe?Hata Commoro inamchapa Burundi mchana kweupe
Hahahaha..JK kashakushikisha adabu yuko zake msoga kapumzika we endelea ligi ndogo....
Aje amtunishie misuli na jpm aone moto wa gas unaunguzajeKagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
Mkuu achana na Malawi sidhani hata kama wanaweza pambana na panya roadbasi nimepita sehemu katika post za malawi wanasema M23 ilipigwa na wamalawi na sio wabongo, ati wabongo walikuwa wanawaogopa m23. hahaha. M23 wale walikuwa wa kagame pure na hakuna ubishi, na kama asingekuwa mpole, ndio kipigo kilikuwa kinaelekea kigali. tungeenda kuwakomboa wanyarwanda wanaopata shida hawana uhuru wanauawa kila siku.
So rwanda ndio wakorofi.....na siku zote mkorofi ndio huwa anachezea doziNi kweli mkondo wa mto pale mpakani unahamahama na hivyo kuhamisha mpaka, lakini this time ulivyohama na kilima kuhamia Rwanda, majeshi ya Rwanda yakaenda kuwavunjia nyumba raia wa Burundi kwenye kilima kile.
Naona kuna kitu hujaelewa ndugu. Kwanza unaijua historia ya migogoro nilioizungumzia baina ya Rwanda na nchi hizo? M23 ilikua inasaidiwa na Rwanda ndio, lakini M23 haijawahi kua sehemu ya keshi la Rwanda right? Note simtetei Kagame nimefanya rejea ya historia.Unamsifia ujinga kagame, Rwanda ina uwezo wa kupigana na South Africa?
Rwanda ina uwezo wa kupigana na France?
Rwanda ina uwezo wa kupigana na Kenya hadi ikashinda?
Rwanda ina uwezo wa kupigana na Tanzania?
Kagame alipojifanya kidume mbele ya JK ni nini kiliwakuta M23 Congo?
Ujasiri wa Kagame ni wa kipumbafu Sana na haujawahi kumsaidia...
Si ajabu warundi wakamchapa.
Nataka ufahamu kwamba mgogoro wa Rwanda na Burundi nyuma yake kuna Ufaransa inamtafuta kagame tangu Siku nyingi Sana.
Sasa Kama huo mlima haujawahi kuleta mgogoro miaka yote Kwanini iwe sasa kipindi ambacho Burundi ipo ktk crisis ya civil war?
Jibu ni kwamba Ufaransa ipo nyuma ya mzozo huu, lengo ni kumfurusha kagame madarakani.
Tumia akili ya kuzaliwa mkuu, usidhani eti Burundi imeamua tu kudai huo mlima bila Sababu za msingi, kuna mtu anatafutwa hapo na taifa kubwa, akijichanganya tu akidhani ana nguvu za kuipiga Burundi hapo atajikuta anapigwa chini Kwa chini na Mfaransa .....