East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Burundi sehemu kubwa nchi nzima iko shwari.Matatizo ya fujo yako maeneo manne tu kwenye jiji la bujumbura maeneo hayo ni Musaga, Nyakabiga, Ngagara na Cibitoke kwenye jiji la Bujumbura na kwenyewe kumedhibitiwa ingawa kuna fujo chache chache za hapa na pale.
Kwa wale mlio na shughuli zenu burundi msiogope kuendelea nazo.Na upande wa uhamiaji wa nchi za Afrika mashariki si vizuri kuendelea kupokea wakimbizi sababu maeneo mengi yako shwari hakuna tatizo lolote.