Burundi: Nchi masikini duniani

chash

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
548
230
Takwimu karibia zote kwenye mtandao zinakubaliana kuwa Burundi ndio nchi masikini duniani. Pia ni mwanachama wa EAC kwa hiyo ni aibu kwetu wote na pia naamini ukishirikiana na masikini unakuwa masikini.Tuwasaidie hawa jamaa wetu kimawazo jameni. Maoni yangu binafsi ni kwamba hii nchi iungane na iwe nchi moja na kati ya Rwanda, Uganda au Tanzania. mnasemaje wadau wa JF?
 
kwa nini ifutwe.....?
shauri ya umaskini wao ndio ishindikane wao kuwa nchi.....?
 
Takwimu karibia zote kwenye mtandao zinakubaliana kuwa Burundi ndio nchi masikini duniani. Pia ni mwanachama wa EAC kwa hiyo ni aibu kwetu wote na pia naamini ukishirikiana na masikini unakuwa masikini.Tuwasaidie hawa jamaa wetu kimawazo jameni. Maoni yangu binafsi ni kwamba hii nchi ifutwe na igawanywe kati ya Rwanda na Uganda au Uganda na Tanzania. La sivyo iunganishwe na Rwanda. mnasemaje wadau wa JF?


duhhhhh ..hapo kwenye red mayazo yako yanatisha hata rais wa nchi hyo akikusikia lazima akutafute ....alaf....utaelewka tu
 
Takwimu karibia zote kwenye mtandao zinakubaliana kuwa Burundi ndio nchi masikini duniani. Pia ni mwanachama wa EAC kwa hiyo ni aibu kwetu wote na pia naamini ukishirikiana na masikini unakuwa masikini.Tuwasaidie hawa jamaa wetu kimawazo jameni. Maoni yangu binafsi ni kwamba hii nchi ifutwe na igawanywe kati ya Rwanda na Uganda au Uganda na Tanzania. La sivyo iunganishwe na Rwanda. mnasemaje wadau wa JF?

ebu tueleze kwanza, wewe niwa nchi gani?: burundi, rwanda, uganda, DrC au tz?!, nadhani in real economic terms TZ ni maskini kuliko burundi, au wewe unasemaje?!
 
kwa nini? mbona kuna nchi maskini na zenye njaa na hazitawaliki km Somalia? mm sijaona umaskini wao wakati wanakula au ni vigezo vipi umetumia kwani km mashindano huwa kuna wa kwanza na wa mwisho hata Olimpiki, Miss world nk
 
ukisema suala la kufutwa ipo siku hata BONGO itafutwa kwani nayo huwa inachezea hizo hizo namba za viatu

ni nchi masikini sababu ya migogoro ya ndani halafu ni LOCKED LAND
 
Sisi ndio Warundi watushangae, pamoja na rasilimali zote bado tunakaribia kulingana nao na kila siku umasikni unazidi Bongoi.
 
kama kufutwa nchi! ingeanza kufutwa tanzania kwanza alafu akapewa paul kagame aiunganishe na rwanda! au ikapewa nchi yyt ile ambayo ni masikini lakini inajikwamua kutoka kwenye umasikini na inaelekea pazuri.
 
Kaziwa nyasa kamewachemsha, mnataka kutest bujumbura, presida wa huko siyo demu kusema mtaenda kuchekacheka, mtafurushwa!!!
 
[/COLOR][/FONT]

duhhhhh ..hapo kwenye red mayazo yako yanatisha hata rais wa nchi hyo akikusikia lazima akutafute ....alaf....utaelewka tu

Aiseee!! Ni kweli Mkuu. Naomba nibadilishe hii lugha nzito nisema 'waungane na'... badala ya kufutwa.
 
ebu tueleze kwanza, wewe niwa nchi gani?: burundi, rwanda, uganda, DrC au tz?!, nadhani in real economic terms TZ ni maskini kuliko burundi, au wewe unasemaje?!

Kwenye list yako kwanini unaona siwezi kuwa mkenya? Nikitaja wawapi utaanza kuunganisha na mada hii na kutafuta visababu, kwa hiyo tusubiri kwanza.

Kulingana na takwimu hizi hapa List of countries by GDP (PPP) per capita - Wikipedia, the free encyclopedia za 2011.

Kenya ipo no 152, Tanzania ya pili 158, Uganda 159 Rwanda 163 alafu Burundi 177 out of 180. Sleeping giants kama DRC hatuta hesabu kwa sababu waki settle vita vyao hata ndani ya miezi sita wanaweza kuzizidi nchi za EAC ki uchumi.
 
Nch moja ikiwa chini excessively ki uchumi inakuwa mzigo kwa nchi za muungano. Ndio sasa hivi unaona muungano wa europa unajitahidi sana kuwasaidia wagiriki na hispania sabab wakiachiwa wanazivuta chini zingine. Ona kam ishu ya wakimbizi. Sio mzigo kwa Tanzania? Wanarudishwa kwao lakini baada ya integration watarudi tu, na hawataweza kuondolewa. Lakini nchi yao ikiboreshwa kidogo wanaweza wakubali kubaki huko huko.
 
ukisema suala la kufutwa ipo siku hata BONGO itafutwa kwani nayo huwa inachezea hizo hizo namba za viatu

ni nchi masikini sababu ya migogoro ya ndani halafu ni LOCKED LAND

Eventually nchi zote za afrika mashariki zitafutwa kwa sababu ndio longterm plan ya EAC. Walianza na kusawazisha tarrifs, sasa wapo kwenye free movement of goods and people then one currency ndio iwezekana political integration. Hii integration haitawezekana kama tofauti ya economy itapishana sana dhidi ya nchi husika. Huku tunako elekea Burundi ina dalili za kulemewa hiyo ndio nahoji nivipi wanaweza kusaidiwa.
 
Nashangaa Somalia haipo kwenye hizi takwimu hapa List of countries by GDP (PPP) per capita - Wikipedia, the free encyclopedia
au ndio wameshaungana na Kenya au?

Kuusu DRC wanasema hivi . quote "Although citizens of the DRC are among the poorest in the world, having the second lowest
nominal GDP per capita, the Democratic Republic of Congo is widely considered to be the richest country in the world regarding natural resources; its untapped deposits of raw minerals are estimated to be worth in excess of US$ 24 trillion"

Kama tutaachia nchi zingine kuzidiwa na umasikini basi muungano utakuwa mgumu. Ndio nikatoa mfano hispania na giriki wanavyo saidiwa na nchi zingine za europa. Sasa nchi zetu zenyewe masikini, tutasaidiana vipi? si bora kuungana na kujaribu kumaliza umasikini kwa pamoja? Kwa kuanza kuungana naona bora zile zipo chini kama burundi zitangulize kuunganishwa na nchi nyingine ili muungano uwe mwepesi zaidi. Naona Kenya na Rwanda wako mbioni kuweka muungano mwingine wenye kasi zaidi ndani ya muungano wa EAC. Wanaondoa uhitaji wa passport kusafiri dhidi ya nchi hizo mbili, tayari wameshafuta work permits, Rwanda imesha chukua waalimu 4000 wa Kenya kwenda kufundisha Rwanda naona wanafuta kifaransa once and for all. Makampuni ya horticulture ya Kenya yapo Rwanda yanawafundisha warwanda kazi za kupanda maua na mboga kwa ajili ya exports. Mimi nasema kuwa hii kasi inapaswa kuwa kwenye nchi zote za EAC kwa pamoja. Ulimwengu mzima nchi zinajikusanya vikundi ili kusaidia watu wao kuishi vizuri, tena sasa hivi sio baada ya tumesha kufa. Nashangaa tunashindwa kuona ya kwamba umasikini unaweza kuondolewa kwenye maisha haya yetu sasa hivi. Sio baada ya tumesha kufa eti ndio watoto wetu wafanye yale tunaweza kuyafanya sasa hivi.
 
Hapo kwenye bold,Hebu acha utani mkuu.

burundi wamekuwa kwenye vita vya kupinduana miaka yote, mpaka sasa uhasama bado upo. Alafu hawana rasilimali yoyote ya kueleweka kwamba itawaongezea mapato zaidi ya kufuga wale ngombe wenye pembe zenye uzito mkubwa kuliko the rest of the body. Sasa tz miaka yote ya kutulia, ardhi yote,madini,mbuga za wanyama, maziwa,bahari, natural forests zote tunakuwa nafasi ya 22 kutoka mwisho unaona fahari?
 
Somalia na Congo za ngapi?

Somalia sio masikini kabisa, utahsangaa data zao zimekaa bora kuliko za Tanzania. Ila the last timr I checked Congo (DRC) ilikua ndio imeshika mkia. Sasa sijui hizi za Burundi kua ya mwisho kazitoa wapi. Labda atuwekee source.
Hata ikiwa ni kweli, sioni kwanini nchi iunganishwe na nchi zingine maskini. They will just drag the better off country down to their level maana na hizo zinazoonekana less poor are relying on aid.
 
Back
Top Bottom