Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,759
- 870,537
Hii kitu unaweza kuifanyia majaribio hata kesho utakapoamka.... Kama hutakufa usiku huu.... Katika mazungumzo ya kawaida muulize mtu asili yake..... Hakika atakwambia yeye ni mchaga kwa sasa lakini asili yao ni wakikuyu wa Kenya.... Baba wa babu zao walivuka mpaka na kuja kuoa wasandawe na wamang'ati na kutoa hiyo mixer... Lakini hao wasandawe na wamang'ati pia sio watanzania kwa asili bali ni wahamiaji kutoka Ethiopia....
"Hivyo ndugu yangu weee nione hivi hivi tu... Mimi sio wa hapa wale blacks wa kule Israel tuna damu nao kwenye ukoo wetu.....
Kimbembe ni pale atakapoitwa Uhamiaji kuthibitisha uraia wake.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna kina sunche hapa eti ni wapare wa ugweno..... Sina mbavu...