Hopefully kaosha mikono....
Mi nimempenda Nyoka ...
<br /><font size="3">mbona jey key anachukua kwa mikono huyu nae yani anachafua kila kona</font>
halafu shati lenyewe la pink??!!!Huyo jamaa mwenye shati la pinki si angekwepa picha kidogo.
jamaa ananyakua kipaja cha kuku kwa vidole?
Hapa ndipo maana ya kufunga kwa wenzetu inaponitatiza? Hivi hiyo Iftar imegharamiwa na bajeti ya Ikulu? Kama ndio sio kuchanganya dini na siasa huku? Kama ni Zanzibar sawa!