Kwani inashindikana nini kutengeneza yeye?hawezi kuwa na designer?Kwani shati katengeneza yeye?
Watanzania bwana... shati aatengeneze mwingine kuvaa avae mwingine kisha tafsiri aulizwe/atoe mwingine
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Khaa sasa Juma Lokole atakua mke wa nani!Hakuna anachomaanisha uyo mme halali wa diamond
Duh! Mzee mbona umefikiria mbali sana au me ndo sielewi yanayoendelea?Hakuna anachomaanisha uyo mme halali wa diamond
InawezekanaKwani inashindikana nini kutengeneza yeye?hawezi kuwa na designer?