Buriani Willson Kabwe

Buriani Willson Kabwe

Mkiwa mnafanya ufujaji na wizi wa mali za umma huwa hamna huruma ya kuwa pesa na raslimali mnazoiba kuna watu wanaumia na kukosa baadhi ya huduma mkitumbuliwa mnarudi kwa wananchi kulialia ya kuwa mnaonewa mara busara haikutumika wakati nyie mnaiba mbona huruma na busara hamkutumia
Kaka soma vizur hakuna aliyebariki wizi humu, hata jambazi akipigwa risasi na kujeruhiwa kisha akakamatwa huwa wanasubiri apone majeraha au afya iimarike ndipo wataanza prosecution mahakamani. Unawezaje kusikiliza kesi wakati mtuhumiwa yu mahututi kitandani? Kuwa mwanaume si umiliki wa gorori mbili kati kati ya mapaja yako. It's a brain jombaa
 
Makonda alimuambia mh. Rais mbele ya kadamnasi kuwa jamaa kasign. Sasa wewe unabisha nini!!? Unataka kusema Makonda alimpa mh rais taarifa za uongo!!? Kwa hiyo unataka kusema ugonjwa ndo unamuondolea mtu makosa aliyoyafanya!!? Napata tabu kuhusu uelewa wako wa mambo
Uelewa wangu umeanzia Makonda kusema hawezi kufanya Kazi na Kabwe kwa sababu ya mambo yake ya hovyo kwenye mkataba alisaini. Swali je wakati Makonda anayasema haya Kabwe alikuwa ofisini? (Jibu yupo kitandani hospitalini nchini India). what was a reason behind? (Ni kwamba madudu ndani ya mkataba ule yaende na Kabwe) tunaoyajua mambo kipindi cha JK mikataba mingi ilisainiwa kutokana na order kutoka mamlaka za juu, hata Mzee wangu EL, Mwalimu Mwakyembe, Jaji mstaarabu Ramadhani wote wamewahi kulizungumza hilo. Je is it impossible kwa Coke Zero kutumiwa na hao wa Mamlaka za juu, waliomshinikiza Kabwe kuingia dili lile? (bearing in mind Kabwe alikuwa mteuliwa). Haya wise man mungu anakuona
 
Alichowafanya Mwanza Kitu gani, wakati nyuma yake na mbele yake inasemekana kulikuwa na mkono mrefu wa serikali, kama Mwanza aliharibu yeye kama yeye mbona Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa haikumtia hatiani? Siasa ndo zinazotuharibu nchi hii!
Siyo siasa zinazotuharibu, hapana. Wezi kwa mbinu zozote wanazozitumia, ndiyo wanaoharibu sana nchi hii. Pia mwizi hatakiwi kuitwa mwizi na hata akitiwa hatiani vilevile hatakiwi kuitwa mwizi, anatakiwa kuitwa mfungwa au mtuhumiwa. Na ukimuita mwizi utakuwa haujamtendea haki. Hivi mtu muovu kumrembaremba na kumteteatetea huwa ni ishara gani?
Ndiyo nikasema, siasa ni nzuri, wabaya ni majizi pamoja na mitandao yao.
 
Makonda yawezakuwa alimdanganya Rais, fuatilia issue nyingi kipindi akiwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni, aliwahiwafukuwza wahandisi kazi kuwa walitengeneza barabara kwa gharama kubwa je wale wahandisi wapo wapi mbona wote wamerudishwa kazini japo kwenye kurudi hawakutangazwa hadharani kama alivyowasimamisha, tatizo bashite alibase kwenye uongo na majungu kuliko kufanya kazi na hasa alitaka kupandisha chati yake juu kwa haraka
Halijua kwenye makaratasi mweupe, so lazima ajitutumue
 
"The silence of our friends hurts more than the noise made by our enemies" by elmagnifico JF
 
Siyo siasa zinazotuharibu, hapana. Wezi kwa mbinu zozote wanazozitumia, ndiyo wanaoharibu sana nchi hii. Pia mwizi hatakiwi kuitwa mwizi na hata akitiwa hatiani vilevile hatakiwi kuitwa mwizi, anatakiwa kuitwa mfungwa au mtuhumiwa. Na ukimuita mwizi utakuwa haujamtendea haki. Hivi mtu muovu kumrembaremba na kumteteatetea huwa ni ishara gani?
Ndiyo nikasema, siasa ni nzuri, wabaya ni majizi pamoja na mitandao yao.

Na wezi wakubwa niwanasiasa ukilinganisha na watendaji!
 
Makonda yawezakuwa alimdanganya Rais, fuatilia issue nyingi kipindi akiwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni, aliwahiwafukuwza wahandisi kazi kuwa walitengeneza barabara kwa gharama kubwa je wale wahandisi wapo wapi mbona wote wamerudishwa kazini japo kwenye kurudi hawakutangazwa hadharani kama alivyowasimamisha, tatizo bashite alibase kwenye uongo na majungu kuliko kufanya kazi na hasa alitaka kupandisha chati yake juu kwa haraka
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango
 
Uelewa wangu umeanzia Makonda kusema hawezi kufanya Kazi na Kabwe kwa sababu ya mambo yake ya hovyo kwenye mkataba alisaini. Swali je wakati Makonda anayasema haya Kabwe alikuwa ofisini? (Jibu yupo kitandani hospitalini nchini India). what was a reason behind? (Ni kwamba madudu ndani ya mkataba ule yaende na Kabwe) tunaoyajua mambo kipindi cha JK mikataba mingi ilisainiwa kutokana na order kutoka mamlaka za juu, hata Mzee wangu EL, Mwalimu Mwakyembe, Jaji mstaarabu Ramadhani wote wamewahi kulizungumza hilo. Je is it impossible kwa Coke Zero kutumiwa na hao wa Mamlaka za juu, waliomshinikiza Kabwe kuingia dili lile? (bearing in mind Kabwe alikuwa mteuliwa). Haya wise man mungu anakuona
Kwa hiyo unarudi palepale alipokuwa anasema makonda (kama ulivyosema mwenyewe) kuwa asingeweza kufanya nae kazi sababu alikuwa hafati ueredi wake katika kufanya kazi bali alikuwa anafata maagizo toka juu!!? kama ni hivyo Makonda hakukosea. Kwa sababu haiwezekan mtu apokee tu maagizo hata kama hayo maagizo hayana tija
 
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango

Si kwamba wameshinda kesi bali wameonekana hawana hatia kwani kulikuwa na kesi yeyote dhidi yao? Hakukuwa na kesi ila walisimamishwa kupisha uchunguzi na imedhihirika wapo sahihi ndo maana nasema Bwana Bashite alikurupuka juu yao kwa maneno ambayo hakuyafanyia kazi tayari yeye akaita media na kuanika makosa lukuki! Kuhusu barabara hata mm nazijua na kila nilipokuwa nazipita sio siri zilikuwa zinaumiza gari hata unayeendesha unajisikia kuumia ila swali la msingi kwanini aliwasimamisha kwa mbwembwe tena hadharani wakati aliweza kujiridhisha kabla ya kuwasimamisha cha msingi acha Professiona iitwe Professional.
 
Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala la elimu yangu) . Nilimjua kama msomi mwanasheria ambaye alikuwa mzoefu katika uongozi wa umma watu wa mbeya na kwingine alipopita wanaweza shuhudia hili (ingawa hakuna aliyekamilika mapungufu yanaweza kuwepo kwani ndo sifa ya kila mwanadamu). Niwe mkweli niliumia sana kusikia mkuu wa mkoa akimtaja kama mtu wa hovyo asiyeweza fanya nae Kazi pale kigamboni siku ya uzinduzi wa daraja la NYERERE. Niliumia zaidi sababu nilijua kuwa wakati ule marehemu alikuwa na hali mbaya kitandani nchini India. Siamini kama mkuu wa mkoa hakulitambua hili. Lakini katika kujiona msafi, mcha mungu akaamua kumpiga jiwe maiti, kwa hili nashindwa kuamini kama Makonda kweli ni mcha mungu, sababu kwa mtu yoyote mcha mungu asingeweza kuyafanya yale wakati anajua fika mzee Kabwe alikuwa kitandani. Hayo yamepita lakini imeniuma zaidi kuona mtu aliyepata sifuri O level na anayetumia vyeti sio vyake kumkataa mtu msomi, mwenye vyeti vyake na kufanikiwa kumtoa kwenye nafasi yake kwa aibu.
Makonda kama unataka ahueni katubu na muombe radhi marehemu Kabwe labda mizimu yake itaacha kukuandama. Umewakosea wengi ila hili la Kabwe litakutafuna milele.
Sasa nimeamini hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe.
wewe ndo ulitakiwa kutubu kwa niaba ya marehemu......alitumbuliwa kwa mistake alizofanya kazin wala sio cheti cha makonda
 
Si kwamba wameshinda kesi bali wameonekana hawana hatia kwani kulikuwa na kesi yeyote dhidi yao? Hakukuwa na kesi ila walisimamishwa kupisha uchunguzi na imedhihirika wapo sahihi ndo maana nasema Bwana Bashite alikurupuka juu yao kwa maneno ambayo hakuyafanyia kazi tayari yeye akaita media na kuanika makosa lukuki! Kuhusu barabara hata mm nazijua na kila nilipokuwa nazipita sio siri zilikuwa zinaumiza gari hata unayeendesha unajisikia kuumia ila swali la msingi kwanini aliwasimamisha kwa mbwembwe tena hadharani wakati aliweza kujiridhisha kabla ya kuwasimamisha cha msingi acha Professiona iitwe Professional.
Kiongozi kumsimamisha mtu apishe uchunguzi ni utaratibu wa kawaida katika utumishi
 
Full upuuzi,walikufa mitume watakatifu kama yesu na mohamed sembuse huyo unayemwongolea, kifo ni haki ya kila nafsi iliyo hai, ulitaka akufe bibi yako?
 
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango
Sasa unataka tuishi bila sheria
 
Kwa hiyo unarudi palepale alipokuwa anasema makonda (kama ulivyosema mwenyewe) kuwa asingeweza kufanya nae kazi sababu alikuwa hafati ueredi wake katika kufanya kazi bali alikuwa anafata maagizo toka juu!!? kama ni hivyo Makonda hakukosea. Kwa sababu haiwezekan mtu apokee tu maagizo hata kama hayo maagizo hayana tija
Kama makonda anavyopokea sasa, siyo
 
Back
Top Bottom