TANZIA Buriani mwalimu Florence Michael Mavunde

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,459
12,584
Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.

Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia. Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.

Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa somo la historia. Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.

Kwa heri rafiki.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale waliomaliza chuo kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye,waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia.Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa SoMo la historia.Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.Kwa heri rafiki.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Pole wafiwa, ndugu, Jamaa, marafiki na taifa kwa ujumla

R.I.P Mwl. Florence Michael Mavunde.
 
Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.

Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia. Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo mwisho wa maisha yake hapa duniani.

Mavunde alitoa mchango wake katika kulitumikia taifa akiwa mwalimu wa somo la historia. Naomba Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke pale anapostahili.

Kwa heri rafiki.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
r.i.p fundi wa history.Necta wenyewe wanamuelewa huyu mtabe!

wakati naingia jite advance kuna mtu akanitonya jamaa unande/kazi maalum.

kama ni hivyo mbona walimtelekeza huko kibaha akiishi katika miserable life?
 
Kumbuka hakuwa mwajiriwa wa necta,aliajiriwa Jitegemee na baadaye serikalini huko Mkuranga.Alipoacha mkuranga alibaki Jitegemee ambapo baada ya kuumwa walimlipa stahiki zake basi akaacha kazi.Necta alikuwa alienda kama walimu wengine.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hakuwa mwajiriwa wa necta,aliajiriwa Jitegemee na baadaye serikalini huko Mkuranga.Alipoacha mkuranga alibaki Jitegemee ambapo baada ya kuumwa walimlipa stahiki zake basi akaacha kazi.Necta alikuwa alienda kama walimu wengine.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
sizungumzii jite na mkuranga.

nazungumzia kazi maalum/unande mbona walimtelekeza mpaka kodi ikawa kizungumkuti?
 
Mwalimu Mavunde! Pumzika Kwa Amani mwalimu, wewe ndo ulisabababisha nilipende somo la historia
 
Back
Top Bottom