BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Jioni hii wapendwa nimepokea msiba mkubwa wa ma uncle wangu gamaliel kipingu aliekuwa rafiki kipenzi cha kila mtu kwenye familia akifanya kazi dodoma upande wa magereza ..nachukua heshima hii kuomba sala zenu kwa familia
na wahusika wote wa karibu mungu atupenguvu wakati huu mgumu kuelekea mazishi..msiba utakuwa tanga
mzee kipingu ni baba yake mzazi sarah kipingu alieimba wimbo wa "nakuitaji mpenzi wangu nakuitaji""najua ulikuwa ujazaliwa si mbaya ukawa na kumbukumbu..nachukua wasaa huu kutoa pole kwa watoto wote wa m arehemu mungu awatie nguvu bwana ametoa bwana ametwa ajina la bwana libarikiwe
mwanga wa milele umpee ee bwana