Buriani Gamalieli Kipingu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Jioni hii wapendwa nimepokea msiba mkubwa wa ma uncle wangu gamaliel kipingu aliekuwa rafiki kipenzi cha kila mtu kwenye familia akifanya kazi dodoma upande wa magereza ..nachukua heshima hii kuomba sala zenu kwa familia
na wahusika wote wa karibu mungu atupenguvu wakati huu mgumu kuelekea mazishi..msiba utakuwa tanga
mzee kipingu ni baba yake mzazi sarah kipingu alieimba wimbo wa "nakuitaji mpenzi wangu nakuitaji""najua ulikuwa ujazaliwa si mbaya ukawa na kumbukumbu..nachukua wasaa huu kutoa pole kwa watoto wote wa m arehemu mungu awatie nguvu bwana ametoa bwana ametwa ajina la bwana libarikiwe
mwanga wa milele umpee ee bwana
 
Msiba huo umenigusa sana, wape pole wahusika wote;

Erasto Kipingu, Billy Kipingi, Janeth Kipingu na wengine. Natambua wakati mgumu walionao lakini Mungu atawafariji hadi mwisho. Safari yake imehitimishwa leo baada ya kupata strock siku ya jana.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ameni.
 
Jioni hii wapendwa nimepokea msiba mkubwa wa ma uncle wangu gamaliel kipingu aliekuwa rafiki kipenzi cha kila mtu kwenye familia akifanya kazi dodoma upande wa magereza ..nachukua heshima hii kuomba sala zenu kwa familia
na wahusika wote wa karibu mungu atupenguvu wakati huu mgumu kuelekea mazishi..msiba utakuwa tanga
mzee kipingu ni baba yake mzazi sarah kipingu alieimba wimbo wa "nakuitaji mpenzi wangu nakuitaji""najua ulikuwa ujazaliwa si mbaya ukawa na kumbukumbu..nachukua wasaa huu kutoa pole kwa watoto wote wa m arehemu mungu awatie nguvu bwana ametoa bwana ametwa ajina la bwana libarikiwe
mwanga wa milele umpee ee bwana
Sarah mshkaji wangu longtime,nilisikia siku hizi mtangazaji Capital Fm.Pole sana Sarah ndio maisha hayo!
 
RIP baba Sara Kipingu
Siku hizi Sara ni Mtangazaji Wa kipindi cha Mwangaza cha ITV. Injili kwa kwenda mbele.
 
Pumziko la milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina
 
Duh leo nimemcheki Sarah kwenhe kipindi cha Mwangaza ITV nikamkumbuka alivyokuwa mshkaji wangu kule Mwenge Sec Singida akiimba Gospel atari af jioni hii mnaniambia hizi habari?Pole Sarah may his soul RIP.
 
RIP baba Sara Kipingu
Siku hizi Sara ni Mtangazaji Wa kipindi cha Mwangaza cha ITV. Injili kwa kwenda mbele.
Ukibahatika kumsikiliza anavyotema pumba kuanzia asubuhi hadi saa 6 mchana Capital Radio hutaamini kama ni mwimba Injili
 
Back
Top Bottom