Burger nini bwana kitu kande

Maharage ya makopo mshana siyapendi sijui hawa jamaa wanayapendea nini kwangu mimi huwa yananishinda kitu harage la mbeya ndani tui zito wee pembeni ubeche asikuambie mtu.
 
Maharage ya makopo mshana siyapendi sijui hawa jamaa wanayapendea nini kwangu mimi huwa yananishinda kitu harage la mbeya ndani tui zito wee pembeni ubeche asikuambie mtu.
lyinga chakula chochote cha kopo hata Liwe tundra ladha yake inakuwa tofauti kabisa na kitu fresh
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mpunga ndondo hata unipe nini siuachi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…