Bureau de change zimerudi?

Mailman

JF-Expert Member
May 16, 2020
802
1,000
Hili lipemba imebidi nicheke tu

Liswahili, maneno mengi kumbe empty box halafu linaniletea uswahili wake mpaka PM

Hahaha, kumbe alikuwa anatafuta gia ya kuingilia PM.

Mimi nilianza kujiuliza labda barabara imebadilika jina amepewa kiongozi mwingine
 

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
3,179
2,000
Riki hill hotel, Sijui ni Lumumba ile au Uhuru sijui vizuri! Ipo pale karibu na Access bank,halafu kuna TRA pale nadhani! Ndiyo wapo road moja na hiyo keys hotel! Nilishawahi fanyia unyama pale! Ujana jamani,acheni tu! Enzi za JK ukitumia,kesho inakuja nyingine,zama za Ngosha ukitumia kesho unasaga meno,Mama Samia legeza kidogo Mama!
 

witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
24,248
2,000
Baada tu ya ile intervention ya Magu, kuchange dollar upate shilingi ilikuwa nafuu kuingia bank kuliko zile bureau de changes za nje japo nje walikuwa wanauza dollar kwa bei nafuu kidoogo

Banks nadhani target yao kubwa ilikuwa kukusanya dollars zaidi na kuzibania walizo nazo.
Hapo nimekuelewa mkuu, kwa ngosha mambo ndo yalichange

After all siku hizi nasell bank, mambo ya bureau za kitaa toka nimeona mizinguo nimeachana nayo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom