Bunju-Posta Metro Line

Wazo zuri sana, tatizo itakuwa pesa na wahusika kutusikiliza...
 
Jiji la Dar es salaam lliifanyiwa utafiti wa kina na wataalamu kutoka south america walilipwa na world bank kama sijakosea. Report yao iliongelea options zote mpaka hii ya mleta mada, BRT ili onekana itafaa zaidi. Kama mtu anaweza weka ile report itakua safi,
ilichambua vizuri sana hizo options.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini sisi tunakuwa tunajificha kwenye Kichaka cha kutokuwa na Uwezo!???
Hivu Kuwa/Kutokuwa na Uwezo maana yake ni ninu?
Kuna mambo mengi sana madogo zaidi ya hilo yanatushinda
 
Dubai Metro,one of the best transport systems in th world.Safi,Timely and well maintained.imesaidia sana movements za watu na kuepuka mafoleni ya kijinga.Unapanda na suit yako safi kabisa na unafika uko fresh.
Ikipatikana Dar hii hata tukianza kwa phases tu itasaidia sana sana
 
Stigler's itakuwa tayari iwapo mradi huu utatekelezwa.
Mhmm nchi hii umeme usisikie hadithi za stigler's gorge. Walisema hivyo hivyo kuhusu gas, kwamba umeme ungekuwa historia naona gas ndiyo ikawa historia. Na shida iko pale pale.
Labda itawezekana nisiseme mengi.
 
Tanzania Ni Tajiri Tutajenga Hiyo Haraka Sana
Tunapenda Mawazo Ya Kusaidia Nchi Hii
 
Bunju-kariKoo utashuka Moroko utapanda mwendokasi,utafanya hivyo hivyo kwenda kwingine. Huko kwingine kuna mwendokasi aka BRT.
Samahani nikisema hiyo njia itakuwa ngumu maana imejaaa, gharama za fidia tu zitafanya mradi hata usianze au usiwepo kabisa
 
Mhmm nchi hii umeme usisikie hadithi za stigler's gorge. Walisema hivyo hivyo kuhusu gas, kwamba umeme ungekuwa historia naona gas ndiyo ikawa historia. Na shida iko pale pale.
Labda itawezekana nisiseme mengi.
Sasa hivi tatizo la umeme limepungua sana. Stigler's Wamisri wapo site kama ni hadithi haya.
 
serikali iwaite matajiri wetu wa ndani wawape Tenda ya kujenga barabara za juu
Gharama watakazo zitoa ni mara 5 ya ghalama alisia ndiyo shida ya sekta binafsi za kiafrica
 
SGR na Stiegler's bado havijakamilika, subiri. Ni option nzuri ila ni expensive bila shaka.
 
Sasa hivi tatizo la umeme limepungua sana. Stigler's Wamisri wapo site kama ni hadithi haya.
Limepungua?! Huku bunju hatupati umeme mchana.
Kwani stigler's imeshaanza kuzalisha?! Nini kimepumguza tatizo?! Limepungua wapi?!
 
Hamu ipo, ghalama ndio kichefuchefu. Gasi ingekuwa yetu hata kwa 30% uwezo ungekuwepo tu. Labda tuongeze kodi ni kutopandishwa mishahara kwa miaka mingi tu(tufunge mikanda kifuani)
 
Limepungua?! Huku bunju hatupati umeme mchana.
Kwani stigler's imeshaanza kuzalisha?! Nini kimepumguza tatizo?! Limepungua wapi?!
Siwezi ligi. Umeshinda.
 
We usituletee matatizo hapa! Hayo Ma SGR, Flyover na Bombadier yamesababisha mwaka wa tatu watu hawajaongezewa mishahara....kujenga hio metro si ndio tutaambiwa mishahara tulipwe siku za sikukuu tu!!!
 
Kuanzisha kitu kama hiyo inawezekana,issue ni je ukiambiwa nauli 5000.00 Bunju-Posta utaweza ? au mtataka zile nauli zetu za 800.00 ili ziendeshe mradi mkubwa kama huo..!
 
Kuanzisha kitu kama hiyo inawezekana,issue ni je ukiambiwa nauli 5000.00 Bunju-Posta utaweza ? au mtataka zile nauli zetu za 800.00 ili ziendeshe mradi mkubwa kama huo..!
Eicher zitakuwepo kwa wasiomudu gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…