Si ndo faida ya ubinafusishaji kwa mtizamo wa serikali ya magamba? Badala ya majengo ya Tanganyika Peckers kusindika nyama na kutengeneza ajira kwa wtz, majengo hayo ni kwa mapepo na misukule. Vitu vya kufikirika, mwache Gwajima ajinafasi asije akasema tunamwonea gele! Mitanzania ndivyotulivyoridhika na ccm yetu.Kiwanda cha nyma kimegeuka kiwanja cha ufufuo!
Usiendeleze hizo RETCO unaongeza machungu mkuu.
Hayo mafanikio ya kuua mashiri ndiyo ambayo Serikali inajivunia.
Mkuu, jibu la hili ni rahisi sana! Mafanikio Kwa mtazamo wa serikali ya mgamba ni kuviua visiwepo kabisaa!Wapi Tanzania bag corporations, Kiltimbers, Moshi tanneries, Kilimanjaro Machine Tools, Imara Wood Products Limited, Moshi Plywood
Minister kilaza kuliko wote waliopata kutokea katika wizara hiyo
Kama Bunge aliwezi kuibana Serikali ili iseme nani alipewa Pesa za STIMULURS PARCKAGE nahisi kuna mchezo mchafu umefanyika, hivyo nashauri NGUVU YA UMMA ITUMIKE ILI TUJUE PESA HIZO ZAIDD YA TRILIIIIIIIIIIII,,,,,,,,ONI ZILIKWENDA WAPI? MNAONAJE WADAU
nchi hii bwana nimeichoka ile mbaya sana
Waziri Mkulo anataka akaangalie msiba wa kanumba cloud Tv. Ukimuuliza Kanumba ameshatoa Filamu ngapi atakujibu bila hata ya kusoma mahali pia hata historia ya kanumba anayo kichwani .Lakini kwenye mambo ya uchumi wa nchi kupita korosho mpaka akasome du!!! hawa ndio mawaziri wetu
Ndio maana kuna vikao vya michango ya harusi lakini hata siku moja huwezi sikia michango ya kwa ajili ya kusomesha ndugu loh hii ndio Tazania banaKanumba si alikuwa mshereheshaji wao.Kwani Tanzania kuna kiongozi anayejali mambo ya msingi.Wanajali starehe tu.
kama kawaida yao maswali magumu majibu mepesi
Naibu Waziri Fedha akijibu swali Bungeni leo,alisifia mafanikio ya Ubinafsishaji.Mh. Zito akauliza swali la nyongeza na kusema anasikitishwa na Serikali kusifia mafanikio ya ubinafsishaji na kutoa mifano kuwa 1980s, viwanda vya korosho vilikuwa 12 leo 1 tu chafanya kazi.
Akaongeza Mwatex, Mbeyatex, Sunguratex viko wapi leo. Mkulo kajibu ati swali la Zito ni jipya (kwa kuwa kataja Textile Industry)! Spika Makinda akamgeuzia kibao Mkulo kuwa swali la Zito ni valid lakini hamshinikiza atoe jibu!
Kanuni ko vipi?
Mkulo anapwaya sana! Spika alikuwa na fursa ya kumpasha Mkulo lakini anazuiwa na Party coccous. Nimeangalia kwa makini mchezo wa Mkulo alipokuwa anajibu swali as if ana ubia na serikali. Ameniboa sana~!