Bungeni Umeme umekatika na limeahirishwa

Bungeni Umeme umekatika na limeahirishwa

Joined
Feb 9, 2012
Posts
65
Reaction score
15
Kweli nchi yetu balaa maana kwa muda zaidi ya dk 5 hakuna umeme na wabunge wanatumia simu na maneno machafu yanatolewa tena na wabunge machizi
 
Mh ndugai kaahirisha bunge mpaka kesho asubuhi baada ya umeme kukatika.

Jamani mjengoni hata stand by genereta hamna?
 
bungeni giza tororo,wamewasha simu za mchina..weeee
hadi bunge limeahirishwa
 
Bunge limeahirishwa kwa umeme kukatika. Hii si mara ya kwanza,halafu wabunge wa CCM wanapiga kelele eti Chadema wanahujumu mpaka Bungeni kwa kuzima umeme. Hivi Tanesco inaendeshwa na Chadema?
 
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa tume itaundwa kuchunguza kukatika kwa umeme WAJINGA NDIO WALIWAO HAHAHAHA
 
kIKWETE KAENDA UINGLEZA KUOMBA MSAADA WA KUIBUST TANNESCO
 
Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.
 
Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.
 
Sasa utashangaa wabunge wetu walivyo. Usishangae ama wakadai ni hujuma au iundwe tume kuchunguza chanzo au pengine yote mawili. Kwa upande mwingine, tunashukuru kwamba ujumbe umefika.
 
hujuma baada ya kuona wabunge wanaanza mashambulizi kwa Prof.
 
Mh ndugai kaahirisha bunge mpaka kesho asubuhi baada ya umeme kukatika.

Jamani mjengoni hata stand by genereta hamna?

Mwongozo wa muheshimiwa spika..muongozo naibu wa spika tafadhari,ame2mia kanuni ipi kuvunja bunge...isije ikawa ni janja ya magamba ,lol shame on the bunges
 
So shame,,,,halafu mbona hili tatizo kila mara linaibuka??????
 
Taa zimezima, halafu kilichoniudhi ni uropokaji wa baadhi ya wabunge, huku wakipayuka kwa kejeli kuikashifu CDM.

hivi CDM ndo wenye jukumu la uwepo wa umeme??
Au ndo CCM wako kwenye maandalizi ya kuwa wapinzani?
 
Back
Top Bottom