Bungeni Umeme umekatika na limeahirishwa

Bungeni Umeme umekatika na limeahirishwa

Just now... kinachoenedelea Bungeni, ghafla, wakati anaongea Profesa Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi na Makazi), umeme mara likatokea giza!!! Nikazani ni matatizo ya Matangazo ya TBC. Lakini ikathibitika ni umeme umekatika na baada ya Profesa kuomba maelekezo ya Spika kumwambia aendelee kujibu Maswali Gizani na Profesa kuendelea kuongea kwa kama dakika 5 hivi, Spika akatangaza kwamba Bunge linalazimika kuahirishwa hadi kesho...!!!

Of course, Swali la Kwanza la Wazi ni Kulikoni? La pili: Kwani Generator la Bunge lilikuwa halina mafuta? Ama nalo limenyimwa posho...?!
 
Hali ikiendelea hivyo, giza la ghafla kila mara, Kaka yangu Mnyika uwe unaingia na tochi humo Mjengoni, usisahau pia kubeba your own microphone
 
what a shame!! Halafu TBC nao mwisho wa bunge wakaonesha giza na wakapiga wimbo wa taifa
 
Mh ndugai kaahirisha bunge mpaka kesho asubuhi baada ya umeme kukatika.

Jamani mjengoni hata stand by genereta hamna?

ni ghali standby generator, serikali haina pesa tafadhali
 
Wajanja washapiga wese, halafu wanaandika yashatumika, Chukua Chako Mapema
 
Umeme hujakatika ila ni taa zilizima mbona mic zilikuwa zinafanya kazi.
 
Mimi nimemsikia mwigulu akisema CDM wana washwa washwa na . Hajui kuwa sauti yake tunaitambua vizuri.
 
Just now... kinachoenedelea Bungeni, ghafla, wakati anaongea Profesa Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi na Makazi), umeme mara likatokea giza!!! Nikazani ni matatizo ya Matangazo ya TBC. Lakini ikathibitika ni umeme umekatika na baada ya Profesa kuomba maelekezo ya Spika kumwambia aendelee kujibu Maswali Gizani na Profesa kuendelea kuongea kwa kama dakika 5 hivi, Spika akatangaza kwamba Bunge linalazimika kuahirishwa hadi kesho...!!!

Of course, Swali la Kwanza la Wazi ni Kulikoni? La pili: Kwani Generator la Bunge lilikuwa halina mafuta? Ama nalo limenyimwa posho...?!
moja ya tunda kubwa la serikali ya CCM kutulaza gizani miaka 50 ya uhuru.
 
Chadema wanahusika na kukatika kwa umeme bungeni
 
Daunia nzima itaripoti kuahirishwa bunge kwa sababu ya umeme,anyway kwa tz sio issue kama kombe limewahi kukabishiwa kwa taa ya ambulance sishangai,kesho utasikia imeundwa kamati kufuatilia tatizo la umeme na ripoti kama kawa itawekwa kwenye folder la madam spika then finish..udhaifu everywhere!
 
Hali ikiendelea hivyo, giza la ghafla kila mara, Kaka yangu Mnyika uwe unaingia na tochi humo Mjengoni, usisahau pia kubeba your own microphone

Sio tochi tu pekee, hata na panga pia kwa ajili ya kujihami.
 
CDM wanalihujumu bunge! hahahaaa hii kali kweli mfa maji..........................2015 magamba byebye!
 
Back
Top Bottom