Shibuda atawa-cost sana Chadema, they have to do something!
Mkuu hivi mgombea binafsi alisharuhusiwa?, manake bila CDM asingekuwa mjengoni: sema wote wanategemeana..
Tutamtoa na kanisani tutamtenga, tena Pengo alikuwa anaangalia bunge wala hawezi kusubiri ripoti ya padri Slaa kuchukua maamuzi.
Mkuu nimekupata na sasa habari imekamilika. Katika orodha ya walionuna nilimwona pia Mh. Lucy Owenya, hata mimi sijaamini nilichokiona na kusikia. Kama Chadema hawawezi kumfukuza Shibuda basi wawakaribishe Mrema, Cheyo na Hamad Rashid kwenye kambi ya upinzani maana hawa ni afadhali kuliko Shibuda<br />
<br />
Gerrad ni uharaka wa kuandika tu Mkuu,sorry. Pia amesema yeye hayuko tayari kuendeshwa na viongozi Dictators ambao wanazuia maoni yake so kwake hilo halipo ana uhuru wa kuongea kweli kama dini yake inavyomuamuru. Pia alizungumzia kiongozi ambae ni chaguo la mungu(nahisi JK) na kiongozi tamaa(means from CDM ,sasa sijui nani?). Inshort sijaamini nilichokisikia na kukiona sababu kwanza ilikuwa mchango wa wizara ya Maliasili ghafla akaomba aongelee suala lake na CDM huku akibeza na kusema hilo nalo lahusu mada ya utalii huku wabunge wa CDM wakifurahia kupita kiasi. Nilimuona SUGU na msigwa wakimuangalia kwa ghadhabu kali. Hali tete kwakweli km mvutano utaendela hivi.
Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.
Kama anakubalika kiasi hicho, ni kwanini hawakumchagua kwenye kura za maoni za CCM? Kwani kilichompeleka CHADEMA ni nini? Read my words, huyu akitoswa na CHADEMA tu, hatakaa ausikie ubunge tena maisha yake yote maana hata hao CCM hawatampokea tena.[/QUOTKwa nini hawajamtosa hadi sasa kama kutosa ndio suluhisho ya kila tatizo
Anza kutenda mema kabla kifo akijakukaribia,Maneno yako yanaweza kukuhukumu wewe pamoja na nduka.Chama cha kidini
One thing I am Confident about Chadema is that, HAWAKURUPUKI.
2) Inawezekana ( not sure) Chadema wanajua kila kitu anachosema Shibuda kabla hajasema na nani kamtuma.
Watu wa Maswa hawakuiamini CDM bwana usije kutudanganya. Siku zote tabia ya CDM ni kufukuzia watu wenye umaarufu na kuwashawishi wagombee kwa tiketi ya Chama chao. Kwa CDM watu ni maarufu kuliko chama na ndio maana utasikia mara wanamfuata Sita mara Nape. Mniambie watu zaidi ya watatu ambao waliuzwa na CDM ambao hawakuwa na umaarufu wao binafsi
Lazima waumie kwa sababu yeye halambi mtu miguu. Hizi sio enzi za zidumu fikra za mwenyekitiMkuu nimekupata na sasa habari imekamilika. Katika orodha ya walionuna nilimwona pia Mh. Lucy Owenya, hata mimi sijaamini nilichokiona na kusikia. Kama Chadema hawawezi kumfukuza Shibuda basi wawakaribishe Mrema, Cheyo na Hamad Rashid kwenye kambi ya upinzani maana hawa ni afadhali kuliko Shibuda
Thridi kama hizi unazifurahia sana naona unachangia kwa bidii kweli.
<br />Mleta hoja siyo mkweli ni mzushi mkubwa.Nimemsikia kwa makini wakati shibuda anachangia bajeti ya maliasili zinazoibwa na mistu.Hakusema hilo.
Sidhani kama atawa-cost sana kama viongozi wa CDM wakitumia strategy ya kutojibishana nae kwenye vyombo vya habari na pia kumnyima nafasi ya kupata habari nyeti za chama..
Shibuda hata angesimama kwa chama cha wavua samaki bado angeshinda bwana mdogo. Kama CDM ndio kila kitu mbona kwa kama 300yaliyobaki walishindwa? Acheni kuikuza hii Chadema effect. Na mkiendelea kuambi hivyo na kuwasakama watu mliowabembeleza kugombea 2015 mtakuwa historia
One thing I am Confident about Chadema is that, HAWAKURUPUKI.