Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

jamaa wanauza wanyama kwa waarabu. sasa wanyama wetu wakiisha waarabu si watakuja kutunaniliu?

Wang'wa baba ni kweli kabisa. Juzi nilikuwa naangalia BBC kuna tangazo la UAE wanaonyesha sasa wana mbuga artificial (manmade) za wanyama. Na bila shaka ni hao waliotoka kwetu. Kwahiyo watalii watapungua kuja kwetu na kwenda huko Dubai kujionea wanyama. Si mnafahamu pia kuwa huko Loliondo kuna ka-nchi kanaitwa UAE? Huyu waziri hafai kabisa aachie ngazi na kwetu usukumani hatumtaki aende kwa hao aliowauzia wanyama wetu.
 
Kamati ya Bunge ilishiriki kugawa vitalu! Hapo ndipo penye tatizo. Bunge linashiriki katika utendaji. Waziri amemaliza kwa kuomba hisani ya kujadili taarifa kwenye kikao kijacho

sio kamati ya bunge wewe, inaitwa kamati ya kumshauri waziri kuhusu ugawaji wa vitalu, ni kamati huru inaongozwa na mzee mmoja anaitwa bakari mbano alikuwa mkurugenzi wa idara ya wanyamapori zamani
 
Huyu jamaa mpuuzi kweli!
Nchi imekumbwa na ufusadi wa kutisha yeye anapongeza ushindi wa simba.
Nyooooooooooo!!!!!!
 
Back
Top Bottom