Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Ukisikiliza mawaziri wengi wanaonekana kujitetea kwamba hawakushirikiwa kikamilifu wakati kamati zinafanya uchunguzi! Lakini msingi wa yote haya (kwa maoni yangu) ni kwamba mawaziri wengi hawajui au hawataki kujua nini kinaendelea kwenye wizara zao zaidi ya kusimamia 'interest zao'.

Kwangu mimi, kitendo tu cha waziri kutojua madudu ya wizara yake kinatosha kabisa kumuondoa huyo waziri. Period.
Hawakushirikishwa kasababu ya nature yao, wangefanya uchakachuaji!hawajui kuwa Lowassa nae alilia hhivyohivyo wakati inasomwa wakati wa Richmond..siku zote pemye ukweli na uadilifu bongo ukiachwa mwanya tu panachakachuliwa (eg ukiacha ripoti izagae zagae). Wawaulize kina Mwakyembe wakati wanafanya uchunguzi wa richmond, ilibidi kila computer inayotumia kuandikia taarifa za siku inaharibiwa (wametumia computer kibao) na data kutunzwa kwa siri kubwa!
 
Lembeli anasema ni muda wa serikali kuwajibika kwa kazi waliyopewa na wananchi, muda wa kujitetea hakuna
 
mwenyekiti wa kamati ya kilimo mifugo na maji: anahitimisha hoja ya kamati
 
Mwenyekiti wa kamati ya maliasili na utalii Ndugu LEMBELI amemwambia Maige kuwa wizara yake imeejaa watu wenye viburi na ndiyo maana Maige hajibu hoja bali amebaki kulaumu tu.

Maige naona kweli anatakiwa kung'oka maana LEMBELI amemwambia kampuni nyingi za uwindaji zinaonekana kubebwa.

Kasema muda wa kujijitetea haupo tena na serikali lazima iwajibike kwa maovu haya.
 
watalia sana mwaka huu kiama chao

pumbafuuuuuuuuuuu weziiiiiiiiiii sanaa
 
Hivi nijiulize hawa mawaziri wakijiuzulu ilhali hakuna kesi wala kuwawajibisha kulipa gharama ya uhalifu wao?

Napendekeza yafuatayo:
1) kuwatia nguvuni mwisho kikao cha bunge;
2) wapelekwe mahabusu usiku huu huku majalada yao ya kesi yakiandaliwa
3) kisha wapelekwe mahakamani
4) wahukumiwe na kufungwa magereza
5) wafilisiwe (wao na jamaa & wapambe wao)

Wakija uraiani yanayoweza kutokea tusilaumiane.
 
msisitizo
Kagera: wageni wamepewa ardhi....hali ni mbaya hakuna amani, watu hawezi hata kulima, wageni waondoke

umwagiliaji: hekta zinazo mwagiliwa ni asilimia 0.0000..., wakati kuna uwezo wa kufanya kilimo cha umwagiliaji

Kilimo kanza: document nzuri lakini haipo wazi, pembejeo tatizo kubwa, samaki hatuwavui tunaleta wajapani etc kuja kuvua, hatuna viwanda vya kusindika samaki, kodi ya vifaa vya uvuvi iondolewe
 
jaman kule bungen kila m2 ana kiti chake ila maige nais km amebanwa
 
Back
Top Bottom