Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

anasema watarabati na kufanyia tathmini maghala pesa hizooo, wakati malalamiko yapo kwenye kuchelewa kusafirisha mazao kutoka kwenye chakula kwenda kwenye njaa. mazao yanaoza kwenye maghala....
 
mwenyekiti wa kamati ya bunge hewani kupangua hoja za maige.!
 
Anampga madongo maige,
anasema mengine meng hawajasema,ILA ANADAI WATENDAJ WA MALIASILI NI JEURI!
 
James Lembeli anashusha nondo dhidi ya waziri wa maliasili
 
keshakamatwa kumbe waliomuuza ni watu wa wizara yake . mwenyekiti wa kamai anasema kuwa wizara ya maige ndio ina watu wakorofi an kiburi sana sijui wanakitoa wapi
 
Wafanyakazi wa wizara ya maliasili na utalii wanatoa wapi kiburi??????????
 
wasira,maige
 

Attachments

  • P_Apr23_184502.jpg
    P_Apr23_184502.jpg
    36.6 KB · Views: 40
kwa hali hii mtu wa kwanza kujiuzulu kikwete wa pili pinda ndio waje mawaziri.
 
Duh noma imekuwa noma, jamaa anadai anapakaziwa na kamati mapaka nalia sas live!
 
mwenyekiti wa kamati ya ardhi maliasili na utalii:

kamati imefanya kazi katika mazingira magumu sana, maafisa wa wizara hasa maliasili na utalii hawakutaka kushirikiana na kamati
kuna makampuni 16 yaliyo pewa vitalu bila kupendekezwa eg Malagalasi safaris, mwanauta hunting safaris, etc nyingine zina madeni na serikali etc
 
Back
Top Bottom