ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused

Kweli vicent ni kiboko kama jina la Baba yake kwani kasema kwa ufupi mapungufu ya TBS kwa kutoa ushahidi kamili,mwisho amemalizia na kibwagizo kuwa anashangaa watu wengine wanaruka tiktaka huku wakiwa na mataulo watabaki uchi kwa maana ya majibu ya mawaziri.