Wakuu huku Arusha maeneo mengi ya mji kwa sasa Tanesco wameuchukua umeme wao,wanatubania kuyajua madudu ya Serikali lakini ni Kama wamechelewa tulishaamka siku nyingi.Wadau humu nnaomba muendelee kutujuza kinachoendelea Bungeni.
ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused
Yaan kwa kifupi hapa Serikali na Mawaziri wake hakuna escaping root!Zaidi ya kustep down tu!Hata mkitoa mapovu wakati mnatoa majibu yenu ya uongo huku midomo na macho vikipishana haitasaidia.