johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Jana ni mara ya pili kumekuwa na Mjadala mkali kuhusu nani anamiliki KADCO na nani anamiliki Uwanja wa KIA.
AG Feleshi akasema Mkataba wa Uendeshaji wa KIA kwa KADCO umeisha June 2023.
Feleshi akasema zaidi kuwa Lease agreement ya KADCO itaisha November 2023.
Wabunge wakahoji kwanini KADCO bado anaoperate wakati Mkataba umeshaisha?
Prof. Mbarawa akasema wataleta mswada bungeni hivi karibuni Ili Viwanja vyote Vya Ndege vimilikiwe na TAA
Wabunge wakahoji, nani anamiliki Uwanja wa KIA?
Wadau naomba mjibu hilo swali la mwisho la Wabunge.
Nawatakia Dominica Njema 😄