Halafu rejea ile mada yako kwamba ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwenye hoja zaidi ya ZITTO na SLAA....
Kuna wakati huwa unajiachia au?
Mbona amsemi tuweke kipindi kwenye TV watanzania wote waone.mbona wa Lema kiti cha bunge kimeukalia ili kumlinda mwongo na Pumbavu PINDA.Ni upuuzi kulaani eti upotoshaji wakati ushahidi mnao mmeukalia. Hata mimi nasema CDM mmehusika otherwise mlete huo ushahidi mnaodai mnao.
Mbona amsemi tuweke kipindi kwenye TV watanzania wote waone.mbona wa Lema kiti cha bunge kimeukalia ili kumlinda mwongo na Pumbavu PINDA.
Hahahaaah!! Jamani nani hawa???
mbona slaa anataka kumpokonya jimbo la kawe na kumpa bibi yake josephine?
Huo ni uzushi ndugu,Mama Josephine alishakanusha huo upuuzi. CDM ni watanzania na viongozi wake huchaguliwa na watanzania wenyewe kwa taaratibu zilizowekwa,
Sisi ndiyo wapiga kura wa Mheshimiwa Mdee na wanaCDM wengine wote. Mama Josephine na Mhe. Mdee wanaendelea kujenga Chama kupitia nafasi na majukumu yao mbalimbali ndani ya Chama,jimboni kawe au maeneo mengine ya nchi. Kajipange upya,upo dunia gani? siyo uzushi! Josephine amekwenda kawe mara 3 hku akihutubia na kupeleka misaada kwa akina mama bila ya kumtaarifu mbunge husika. na amekua akipelekwa na gari la katibu mkuu wa chama. kama unadhani nadanganya, hebu kafanye utafiti
TATIZO KUBWA LA CHADEMA NI KUHARIBU VIJANA WA KITANZANIA...
huyu msag.......aji alikuwa ni bonge la jembe wakati anaanza siasa na wengi tulitarajia atakujakuwa one of the most prominent female politician in this country.. ona sasa wameshamlisha kitu cha arusha. sauti inamkauka wala hasikiki na amebakia kuwa mwanaharakati badala ya kuendelea kufanya siasa. jimbo lenyewe liko mdomoni mwa MBATIA NA COME 2015 ATARUDI MTAANI. TAKE IT FROM ME BROTHERS
Mkuu hela unaita mambo madogomadogo.....Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
TATIZO KUBWA LA CHADEMA NI KUHARIBU VIJANA WA KITANZANIA...
huyu msag.......aji alikuwa ni bonge la jembe wakati anaanza siasa na wengi tulitarajia atakujakuwa one of the most prominent female politician in this country.. ona sasa wameshamlisha kitu cha arusha. sauti inamkauka wala hasikiki na amebakia kuwa mwanaharakati badala ya kuendelea kufanya siasa. jimbo lenyewe liko mdomoni mwa MBATIA NA COME 2015 ATARUDI MTAANI. TAKE IT FROM ME BROTHERS
Inaelekea wewe njia panda umezoea mazungumzo kama ya kina wema sepetu. ukiwa level hiyo huwezi kumuelewa mdee.