james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
Amechangia vzr kwa kuionesha kama taifa tunaweza kukusanya kodi na kuongeza mapato kwa taifa!kazi yako ya buku sabasaba tumeiona!dah yaani wewe mburula kweli. mbunge hujamuona siku nyingi halafu unamshabikia. pole sana na mbunge wako kilaza huyo. 2015 ataipata fresh
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!
Yote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836
Juzi ulimsifia Msigwa leo Mdee, inaonekana Chadema unakikubali.
ila mambo madogo madogo ndio yanakufanya ufanye tofauti na moyo wako unavyoamini.!!
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Afu kama huyu anaitwa zambi cjui dhambi anaboa
Bado wewe idawa, utaikubali chadema tu kwani kwani huwezi kubakia na roho ya paka wakati unaona jamii inaangamia kwa sbb ya watu wachache, iko siku nafsi itakusuta!
Tanzania bila watesaji, wang'oa kucha na meno, wabambikizaji kesi, mafisadi na wauaji inawezekana tushirikiane kuwatokomeza 2015 kwa kura za hapana.Mwigulu tumbo joto
Akiwa ana changia bungeni, mhe Halima Mdee ambae ni mbunge wa jimbo la kawe, ameipa za uso serikali kwa kuiambia amelaani vikali upotoshaji uliofanywa bungeni kuhusu mlipuko uliofanywa Arusha kuwa ni CHADEMA ndio walio husika.
Aidha, mhe Halima Mdee amesema, CHADEMA watakuwa ni wendawazimu wa kujilipua wenyewe kwa lengo la kujitafutia umaarufu au kutaka huruma kwa wananchi, wakati tayari nchi imewakubali, na mziki wa CHADEMA watauona rasmi 2015.
Huyu Mdee nimemsifu kwa kukanusha bila ya kurusha tuhuma zozote kwa chama ama mtu yeyote yule. Amekomaa kisiasa!
Mkuu, kama kuna ushahidi wowote ule unaoonyesha uhusika wa CCM kwenye lile tukio la mlipuko basi tunawaomba muupeleke kwenye mamlaka zinazo husika, tena kamishna ametoa mpaka ruhusa ya kuupeleka ushahidi huo Ikulu, sasa mpewe nini ili mthibitishe hizo tuhuma zenu? CHADEMA ina maadui wengi, wenda ni hao maadui wao wengine ndio waliolipua bomu pale Soweto na sio serikali kama mnavyotaka kuaminisha watu humu!
Laah mama toto umenifurahisha sanaYote hayo yanazungumzwa na hiyo migaidi ya CCM badala ya kutatua matatizo haya
View attachment 99835View attachment 99836